Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

espy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
ina maan alishammwaga Daby ? sas kama ni wako mbona mashairi mengi. vipi
 
espy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
Khaaaa babu asprin wa pili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom