Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

kuna kipindi shem anakaa mbali na familia yake yalikua yanamkuta kama hayo,mtoto anaumwa na gharama ya hosptl inalingana na kiwango ulichonacho na ndo kiasi cha nauli ya kwenda na kurudi, anaamua utume fedha ili kusaidia matibabu, ila baade analaumiwa kwa kutokwenda kumuona mtoto akiwa anaumwa huku akisahau pesa aliyokua nayo alituma yote kusaidia matibabu. sasa unajiuliza kufika akiwa hana hela ni bora kuliko kutuma mtot atibiwe kwanz?
Okay
 
Mkuu kumbe ww ni mtu mzima Sana kwangu, Shikamoo ukistaajabu ya musa utaona ya firauni Mimi nilijuaga ww chalii kama mimi,,

Upo Chuo wakati m pesa Hakuna ww ni mkongwe, ile Salaamu ya wakubwa zangu uiache Mkuu

Shikamoo na nisamehe kwa kukuona ww level zetu 97
Pamoja sana mdogo wangu wala usihofu
 
Alikuwa ni moja kati ya washauri wangu wa karibu sana.
Mi mwenzenu sinaga washauri kwenye maisha au ndio sababu nakwama?!.
Maana baada ya kusoma hapa nikafanya rejea za fasta fasta kwa watu wangu wa muhim starting with my father wote wana washauri wao 😁.Af kuna brother angu mmoja yy ni pastor huwa anani offer sana hiyo opportunity kwamba nim consult anytime for anything nikihitaji ushauri ila waaapi naonaga am just fine.!..
Sasa hii comment yako umenifanya nijiulize labda mi na deal with petty issues ndio maana am doing on my own?!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utampa ushauri gani akuelewe mdada aliekuomba hela yakusuka anakwambia nywele zimeanza kukatika anataka akafumue asuke,ni neno gani litamuingia huyo mdada eti?
 
Utampa ushauri gani akuelewe mdada aliekuomba hela yakusuka anakwambia nywele zimeanza kukatika anataka akafumue asuke,ni neno gani litamuingia huyo mdada eti?
Mwambie kuwa kusuka sana kunasababisha nywele kukatika. SHe needs to let her scalp breathe kwa week tatu. Na pia hakikishe ana moisturize kichwa chake ili scalp irudishe hali yake ya kuzalisha mafuta ya asili ambayo hufanya hair roots kuwa strong.
 
Well said
 
Mi mwenzenu sinaga washauri kwenye maisha au ndio sababu nakwama?!.
Maana baada ya kusoma hapa nikafanya rejea za fasta fasta kwa watu wangu wa muhim starting with my father wote wana washauri wao 😁.Af kuna brother angu mmoja yy ni pastor huwa anani offer sana hiyo opportunity kwamba nim consult anytime for anything nikihitaji ushauri ila waaapi naonaga am just fine.!..
You can give it a try bro...
 
Back
Top Bottom