Kuna mtu anakaribia kuingia kwenye 18

Nawakumbusha Mama Samia ndio mgeni rasmi kwenye hafla ya kuzima mwenge.

Watu na akili zenu source yenu ni huyu malaya Hilda Newton?

Sikubaliani na wanaharakati uchwara kama hawa kina Hilda.

Bongo saa nyingine wanaume kama machoko watupu, Rais mwananamke, eti na wanaharakati ni wanawake malaya watupu Hilda, Mange, Maria, Rachel, kweli Bongo ni channel ya vichekesho mbinguni.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama.

Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone๐Ÿ˜‚

Cc.
Mafwele
Muliro
Mkunda
Who are you?๐Ÿ˜‚๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
 
Hao wanaharakati wanawake ni malaya kuliko huyo mwanamke wanayemsema kwa maoni yako?
 
Na wewe nani amekuzuia usianzishe nyuzi ambazo zina make sense completely?
Thread zako za hovyo tu lakini unataka kupangia watu nini cha kuandika?
acha porojo na upotoshaji useless jukwaani gentleman,

sina haja ya kumpangia mdau yeyote wa Jf namna ya kuandika porojo yake jukwaani,

na hayupo wa kuzuia mimi nisitoe maoni au mtazamo wangu huru dhidi ya hoja useful na zile nonsense kama hii jukwaani, okay?

usirudie tena kukurupuka kupotosha wadau wa Jf kwa mihemko useless kama hiyo jukwaani, okay?๐Ÿ’
 
It is a constant fear of unknown. Plenty of anxiety.
Hiyo situation unakuta mtu anaogopa hadi kivuli chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ