The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,696
- 18,367
Kwa jinsi tume inavyosukwa ............ hivi bado kuna hope yeyote 2020!!?
Kwa hiyo asikosolewe? Wachekesha sana.Wadau,
Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......
Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...
Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.
Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.
Wenu
Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
HahahaTumia data za kweli kuikosoa serikali...
"kati ya bavicha 100 basi 67 wanameza ARV" hii data ni kutoka gazeti pendwa!!na sisi tukashangilia
Aanze hukohuko. Walochukuwa hela wakapitisha sheria na mikataba inayotuletea haya ya madini kuibwa. Vinginevyo ni maigizo tu ambayo yanachuja kwa kasi kweli. AmenSio mara ya kwanza kwa Mh Rais kusema kuwa kuna watu walichukua fedha ili kusaidia upande wa wezi wa rasilimali zetu...leo hii tena ameonya juu ya wanaopiga kelele ili kuwaridhisha waliomhonga anawafahamu.
Rais angeanza na mwandishi wake Msigwa anayetoa takwimu za uongo mara kwa mara.Sasa kwa hali hii kati ya Zitto na serikali nani mwongo?
View attachment 615227
Pole sana.Jifunzeni tu kukaa kimya,maana haya madomo yataponza kichwa.
Inanipunguzia nini 67/100 ikiwa mimi najua kuwa situmii ARV's??????Tumia data za kweli kuikosoa serikali...
"kati ya bavicha 100 basi 67 wanameza ARV" hii data ni kutoka gazeti pendwa!!na sisi tukashangilia
Gazeti lilikosea juzi na jana wakaomba msamaha na kusahihisha. Tatizo ni nini hapo. Makosa ya uandishi hufanywa hata huko magogoni wanaporekebisha yanaisha.Tumia data za kweli kuikosoa serikali...
"kati ya bavicha 100 basi 67 wanameza ARV" hii data ni kutoka gazeti pendwa!!na sisi tukashangilia
Kuna watu walijua kabla ya uchaguzi, wewe umejua leo, pole sanaMmmmh
Huko tunakoelekea siyo jamani!!!
Atoe mwenyewe basi izo takwimu kipi kilichopelekea kusitisha kuzitoa , mliona sifa toeni acheni kutisha watu hapa hii nchi sio yenuWadau,
Kwa mujibu wa maneno ya JPM ya leo inaonekana kabisa, kwa sasa kansa kuu ni huu upotoshaji wa takwimu, na kwa muktadha huu ni kwamba kuna mtu muda wowote kuanzia sasa ataingia kwenye 18 za JPM, walio karibu nae mtu huyu wamfikishie salamu kuwa atakapo pewa data zozote toka kwa watu "wasiojulikana" kama siri za serikali atafute vyanzo vingine kuthibitisha kabla hajarusha kwenye hadhira.......
Katika wakosoaji wanaoogopwa na serikali nyingi duniani ni wale wenye taaluma za sheria au wale ambao wanasoma na kufuatilia ripoti, takwimu, vitabu au makala mbali mbali. Lissu, Zitto,Slaa, Lipumba(Enzi zake), Lamwai (Enzi zake) na wengineo wengi ni mifano ya aina hiyo... kwa wanasheria sababu ipo very clear wapo makini sana kwenye yale wanayozungumza na wanajua kuwa ni ngumu kuwashida Mahakamani, kwa watu aina ya Zitto, slaa et al. pamoja na kuwa sio wanasheria ni watu ambao wanasoma sana vitabu, makala na machapisho na matokeao ya takwimu mbali mbali, watu hawa huwa ni wabaya sana kwa kuwa wakosoapo hutumia takwimu na rejea mbali mbali....Hakuna serikali makini duniani kote itakuacha salama ikiwa ukosoaji wako "hata kama ni kweli " lakini unalenga kuzua taharuki katika jamii...Hakuna..Hakuna...
Kitakachomkuta asije kusema hatukumkumbusha. Ni wajibu wangu kama Mzalendo wa nchi hii kumkumbusha mtu yoyote ninayeona anaelekea kuingia kwenye hatari itakayosababisha taharuki kwenye jamii.
Tumpe muda JPM atimize azma yake kwa watanzania, na kama hatatimiza ahadi zake msema kweli ni Box la kura 2020.
Wenu
Tume ya Katiba
Mtakwimu Mwandamizi
Na ndo maana JPM hawezi kamwe irudisha katiba ya Warioba kwani anajua fika hiyo ndo kaburi lake....Umesema kweli mkuu. Kuna kiongozi mmoja wa nchi za kikomunisti aliwahi kusema kuwa wapiga kura na wahesabu kura hawana uzito wowote, bali uzito uko kwa mtangaza matokeo. Kwa hiyo ni ndoto kufikiri kuwa eti sanduku la kura laweza kuamua nani awe rais wa nchi hii. Hili huamuliwa na mtangaza matokeo yaani tume ya uchaguzi.
He heeeeeSasa kwa hali hii kati ya Zitto na serikali nani mwongo?
View attachment 615227
Ndo maana Acacia/Barrick wanafanya kama Mdoli Fulani hivi kwa vituko vyake....na hawatampa hata "buku" chakavu.....Rais angeanza na mwandishi wake Msigwa anayetoa takwimu za uongo mara kwa mara.