verify
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,313
- 3,164
Kididimo 😅Kwa hiyo mlikua mnaenda kukulana kule kwenye mageto yenu ya Foko Land?
Kididimo 😅Kwa hiyo mlikua mnaenda kukulana kule kwenye mageto yenu ya Foko Land?
Kididimo labda kucheza pool table tu, Totoz zilikua kule Solomon Mahlangu Campus wale watu wa Education. Nlifaidi sana.Kididimo 😅
Hahahah kwahiyo ulikua unatoka molinge mpaka mahrangu kufwata totoz ?Kididimo labda kucheza pool table tu, Totoz zilikua kule Solomon Mahlangu Campus wale watu wa Education. Nlifaidi sana.
Sijasoma huko ila nlikuwa nakuja sana.Hahahah kwahiyo ulikua unatoka molinge mpaka mahrangu kufwata totoz ?
Its all about ankaraTell em it's all bout dollars billion