Kuna msichana hapa MMU kanichezea afu kaniacha

Kuna msichana hapa MMU kanichezea afu kaniacha

mmmh!! mpaka mwaka uishe huu tutakuwa rumeona mengi mpenzi, yetu majicho

Kama ni uvumilivu wa ndoa ninajitahid,najipa moyo kila siku labda atabadilika lakini ndo kwanzaaa!!! Eli79 kumbuka kiapo kwamba "utawaepuka wengine wote utaambatana na mimi tu"
 
Last edited by a moderator:
Kama ni uvumilivu wa ndoa ninajitahid,najipa moyo kila siku labda atabadilika lakini ndo kwanzaaa!!! Eli79 kumbuka kiapo kwamba "utawaepuka wengine wote utaambatana na mimi tu"

Mie siku ile nilikuambia ukaniona mbaya, subiri ya uwanja wa taifa na matarumbete kabisa, ila mie burudaniiii maana i'll always be his night mare.
 
Last edited by a moderator:
Unatudhalilisha vijana wenzio, nani alikwambia JF-MMU ni sehemu ya kupata mwenza?

Hapa ni sehemu ya kupunguzia stress.

Mind: Dont trust anyone ever. Hafu kukusaidia tu, badili mtazamo wako kuhusu mapenzi kuanzia sasa. Ukikutana na mtu ujue kabisa wewe sio wa kwanza, hawezi kukaa single, anapima upepo, na huna chako. Ukiwa na mtazamo huo siku ukitaka kuoa utaandaa wa kwako ofisin kwenu, chuoni kwenu, kanisan kwenu or jirani yako ambayevat least unauhakika wa kufahamu 75% ya routine zake na mambo yake daily ili ujiridhishe.

ZINGATIA!!

Mawazo ya kijinga hayo
 
Weka picha!

ImageUploadedByJamiiForums1437475520.484328.jpg

Yaani sijaamini alichomfanyia ndugu yangu
 
Kama ni uvumilivu wa ndoa ninajitahid,najipa moyo kila siku labda atabadilika lakini ndo kwanzaaa!!! Eli79 kumbuka kiapo kwamba "utawaepuka wengine wote utaambatana na mimi tu"

Nakumbuka sana huo usemi, nami naufuata kila siku. Hivi naanzaje kwa atoto wakati unanipa kila nnachotaka.
 
Last edited by a moderator:
Mie siku ile nilikuambia ukaniona mbaya, subiri ya uwanja wa taifa na matarumbete kabisa, ila mie burudaniiii maana i'll always be his night mare.

His nightmare ukimaanisha utanitaka siku zote au?..teeeeh!
 
Kuna mdada,alinivutia hapa MMU,nikamuomba namba zake,nikamcheck,tukatumiana picha watsap kila mtu akaridhika na mwenzake.Ila cha ajabu toka juzi nikimpigia simu hapokei,ila watsap namuona online nifanyaje?

Hakutaki
 
Pole san mkuu,inaonekan uliongea maneno meng san ya ukweli pasipo kujua kweny mapenz uwong ndio unapendw kupita kiasi
 
Mi najua ulipokosea labd kweny upande wa kazi ukawek ukweli,kw maish ya sas hapo ndipo kiunganish ch mapenz maan ukitaj tu unafany kaz gan mwenzako anafany makadilio ya mshahar wako kish anatuw amepat jib kam unawez kimtimizia shid zak za kila mwez.sik nyingin hapo kweny kaz jaz msaidiz wa katib wizar ya fedha au madin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom