Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Naanzaje kwa mfano? Don't even think about itUsije tu kunichezea...pls!
Teh teh teh leo nisipokanyagwa na vogue sijuiiiiiiii
Naanzaje kwa mfano? Don't even think about itUsije tu kunichezea...pls!
Shem ni msichana wa mmu, yupo online, unataka kumjua?Shem wantia shaka, wamjua muhusika..?
Punguza zege mdomoni kwanza!
Naanzaje kwa mfano? Don't even think about it
Teh teh teh leo nisipokanyagwa na vogue sijuiiiiiiii
Kweli dunia imebadilika.
Zamani watoto wakike ndio walikua wakijiliza kwa kuchezewa na wanaume, nashangaa skuizi imekua kinyume chake
Mfate kwao
Ndo amekuchezea hivyo..? Na una uhakika gani kama aliridhika na wewe..? Muhimu kabisa sikukuu hii ulitoa ahadi yeyote..?
hajibu mkuu.
Usije tu kunichezea...pls!