Kuna msichana hapa MMU kanichezea afu kaniacha

Kuna msichana hapa MMU kanichezea afu kaniacha

Daah afu kweli maombi yangu yanafanya kazi. Huwezi amini Nipo nimesimama hivi, mara ghafla vogue hili hapa (hope umeliona). Nikasema tu leo tooth pick zangu zinavunjwa, ile vogue limenikaribia kabisa kunigonga vuuuuu, Nikashangaa ghafla limezima mazima. Ndo ikawa salama yangu

Sasa na wewe michepuko unataka Ila katoto unakaogoopa tena. Katoto kape tu uji katasinzia buana teh

Kati ya watu ninaowapenda kuliko nawe umo tena namba 1 tafadhali usikubali Eli79 aiondoe hiyo thamani yako....... Eli79 uache kuchezea watu....lol
 
Last edited by a moderator:
jamani si achana naeee...hataki usumbufu wako
 
wangu wa milele, asa wataka nani achezee zaidi yangu...
...ujue, huna mamlaka juu ya mwili wako, isipokuwa mimi..haha!

Mweeee!!! Naona umeongeza mwingine kwenye list
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom