Kweli dunia imebadilika.
Zamani watoto wakike ndio walikua wakijiliza kwa kuchezewa na wanaume, nashangaa skuizi imekua kinyume chake
Mmhhhhhmmm....Thanks..
Kweli dunia imebadilika.
Zamani watoto wakike ndio walikua wakijiliza kwa kuchezewa na wanaume, nashangaa skuizi imekua kinyume chake
Vogue lipo garage wangu. teh.. Hapa nabadilisha brand kabisa, Heaven Sent ndio brand mpya kwa sasa..teh!
Hebu tuma hizo picha ulizomtumia........inawezekana shida ipo hapo...........
Hahaha pole kwa kuchezewa jamani, tabia yake mbaya kweli
Unatudhalilisha vijana wenzio, nani alikwambia JF-MMU ni sehemu ya kupata mwenza?
Hapa ni sehemu ya kupunguzia stress.
Mind: Dont trust anyone ever. Hafu kukusaidia tu, badili mtazamo wako kuhusu mapenzi kuanzia sasa. Ukikutana na mtu ujue kabisa wewe sio wa kwanza, hawezi kukaa single, anapima upepo, na huna chako. Ukiwa na mtazamo huo siku ukitaka kuoa utaandaa wa kwako ofisin kwenu, chuoni kwenu, kanisan kwenu or jirani yako ambayevat least unauhakika wa kufahamu 75% ya routine zake na mambo yake daily ili ujiridhishe.
ZINGATIA!!
Kuna mdada,alinivutia hapa MMU,nkamuomba namba zake,nkamcheck,tukatumiana picha watsap kila mtu akaridhka na mwenzake..ila cha ajabu toka juzi nkimpigia simu hapokei,ila watsap namuona online..nifanyaje?
Kweli aweke namba hapaWeka namba yake hapa tukusaidie kumpigia
Daah basi me Naendelea kuliombea vogue lisitembee milele, lisahaulike huko huko garage. Afu na kale katoto karudishe tu kwa mama ake kakanyoye vizuri. Hapo ndo itakua mwaaah teh
Hahaha.. Nimecheka sana. Ngoja katoto kapitishe pua na kunusa maandiko yako! Mie simoooo..
Daah afu kweli maombi yangu yanafanya kazi. Huwezi amini Nipo nimesimama hivi, mara ghafla vogue hili hapa (hope umeliona). Nikasema tu leo tooth pick zangu zinavunjwa, ile vogue limenikaribia kabisa kunigonga vuuuuu, Nikashangaa ghafla limezima mazima. Ndo ikawa salama yangu
Sasa na wewe michepuko unataka Ila katoto unakaogoopa tena. Katoto kape tu uji katasinzia buana teh
Heheee.. Nineona ulivyotimuliwa vumbi...haha! Katoto nakapenda bado, kanajua kukea sana. Hope na wewe utakuwa hivyo..
Lols.
Sasa analia lia nini?
Shem ni msichana wa mmu, yupo online, unataka kumjua?
Ha ha ha shem nataka nimjue.. Nasubiri unitajie ili nijihadhari..