Unatudhalilisha vijana wenzio, nani alikwambia JF-MMU ni sehemu ya kupata mwenza?
Hapa ni sehemu ya kupunguzia stress.
Mind: Dont trust anyone ever. Hafu kukusaidia tu, badili mtazamo wako kuhusu mapenzi kuanzia sasa. Ukikutana na mtu ujue kabisa wewe sio wa kwanza, hawezi kukaa single, anapima upepo, na huna chako. Ukiwa na mtazamo huo siku ukitaka kuoa utaandaa wa kwako ofisin kwenu, chuoni kwenu, kanisan kwenu or jirani yako ambayevat least unauhakika wa kufahamu 75% ya routine zake na mambo yake daily ili ujiridhishe.
ZINGATIA!!