Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 741
- 1,513
Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera)
Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina taratibu zake na mtu hata kama akiwa ni raia wa kigeni akivunja utaratibu waliojiwekea nchi husika lazima sheria za nchi husika zifanye kazi
Sasa swali lake likawa ni kwamba hao wanaharakati wamevunja sheria gani ya nchi yetu mpaka kupata dhahama hiyo? Naomba mnisaidie kujibu nimjibu huyu mKenya