Zurula ujionee, kuna mtu unamkuta macho makavuuu anakwambia ujenzi dar ni mgumu😅😅😅😅😅Kesho nazurura zurura nitauliza ausse
Bado siku nne uende kwenye ule uzi wa malalamiko😁Kuna mchongo ukitiki, nakua nagawa Hela kwa kina Gunner11 humu
Ila hii kama pointPopote penye usafiri wa umma wa UHAKIKA kumiliki gari ni ANASA
Sasa na oil ya engine 😂ukienda service ni mwendo wa kushtuka kama ze comedyUkiona haulalamikii bei ya bia na petrol..... wewe ni tajiri tayari
umeingia sasa kwetu
Umefika mkoa gani tena leo?
Nyerere rd hii!?🤔
But hii ilikuwa ni city center sio!?Kusema kweli Mwanza me mweupe