Zinatofautiana mia tatu tu kwa bei ya huko kwenu Daslamu.
Mkuu kama wewe ni maskini au unaogopa kununua gari kisa bei ya mafuta, Mungu akutangulie!
Kijana utaweza kuishi Swax kweli?
Atalia na kusaga meno!Mkeka ujao hiyo ni bei ya Dar!😀
BTW:Jaribu kuulizia na bei ya cement huko.
Endelea kujitafuta Max 😁Hahahaaa hapa inamaana me Bado sana
Ni Yale Yale tuZinatofautiana mia tatu tu kwa bei ya huko kwenu Daslamu.
Sasa kuna tofauti gani? Si kiasi kikubwa.