Kuna michepuko ni takataka kabisa

Chagueni kutokua na michepuko maisha yanawezekana bila michepuko, hizo nguvu za kuhudumia mchepuko muhudumie mkeo au somesha hata ndugu yako uhisani uanzie kwenye chimbuko lako la karibu halafu uje uniambie kama Mungu hajakubariki maradufu na kizazi chako chote
 
uyo unamlaumu bure tu.

mkeo yy anamhusu nini bana ww?

hlf wanawake km hawa hawaachiki kirahisi, apo unalo kiongozi
 
Kwani mahusiano Ni biashara mkuu,
Kias kwamba aangalie maslahi yake TU?
Unapata huduma lipia huduma njia kuu na bora ni kujiepusha na michepuko haikusaidii mkuu zaidi inakupa stress ona na uzi unafungua kisa anataka kukamata miliki zako

Hii kitu inawezekana kaa mbali na michepuko ni kweli haina tija haina maana, chagua rafiki wakike awe best friend wako wa karibu mtakae weza kusaidiana katika mambo mengi ya kiushauri na kutenga muda wa kurefresh na asiweze kuwa mchepuko na mkaishi fresh tu na mkeo ukampenda zaidi.
 
For me naona jamaa ndio akili hana na huyo manzi anatumia udhaifu wake kama fimbo ya kumchampia
We ndo umesema ukweli, hilo jamaa halina akili hata moja kwasababu mambo ya kipumbavu anayaleta mitandani na screenshots juu, huyo mama J naona kama ana afadhali vile maana anajua libwana lake halina akili ndomaana analiendesha kama gari bovu, hebu tuma namba ya M-PESA nikuwekee soda
 
Si ubaki njia kuu na mkeo, sasa ya nini unahangaika na usioweza kuwahudumia on time ... ideally alikuwa anakupima aone ka una misimamo isiyotetereka......mihemuko
Mtakapo rejeana ukuje kutupa mrejesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…