Kuna michepuko ni takataka kabisa

Harakati za PIMBI za bwana DeepPond
 
Eti nin?i Kama kuna jambo gumu kwa mwanaume ni kuupiga chini mchepuko! MIDUME MINGINE HUZABWA HADI MAKOFI NA MICHEPUKO IPO RADHI IACHE BUKU 2 KWA WAKE NA WATOTO WAO KWA MICHEPUKO M KADHAA!
 
Ni kweli wanavyosema, kuna Me hawafurukuti kwa Ke. Unaendeshwa kama gari bovu nawe upo tu. Yaani unakuwa bwegger!
Mkuu wanawake wote wanazo nguvu za kumuendesha mwananume watakavyo ila sasa wakisha olewa wengi wana loose kwani kaleee kauoga ka ndoa kanawa badilisha.

Ukitaka kuhakiki hilo uliza yeyote aliye pa mchepuko atathinitisha hili.
Na ikiwa umeoa mchepuko halafu akakuendeaha sasa hapo ndo unakuwa mumebwege
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…