Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,711
- 99,552
Hahahaha, mtego huo kwa wadada waone jamaa ana care ,ila uwe mvumilivuSasa mkuu unatulalamikia tukusaidieje?
Pisi umeisaka mwenyewe, umeichakata vya kutosha mpaka kuboa. Sasa maugomvi yenu yanatuharibia mood na michepuko yetu waaminifu
Vituko vyake sjamzuia asifanye,Usimlalamikie huyo mchepuko wewe ndio una matatizo. Unazijua vizuri tabia zake na ushasema mwenyewe huwezi kumuacha hivyo wacha aendelee kukutundika matukio mpaka siku yakushinde ujiondoe mwenyewe.
Nmeona Sana nyuz za watu humu, michepuko Yao mpk inashiriki ktk maendeleo ya uchumi/kazi zao na familia zao. Ila kwangu Ni tofautiKatika pituitary zako na wanawake tofauti, umewahi kukutana na mcheps anayejali welfare ya familia yako? I mean, wewe ni mzoefu wa hizi mambo, kuna Ke wa pembeni anajali maisha yako binafsi bila kuangalia mfuko wako?
Msapoti taratibu atakomaaa changamoto ya huyo demu ni wivu nyege na umaskiniNmeshampa kazi pamoja na duka
Blaza umeokota wale wa visendo vya manyoya au wale wa blichi?Yaani Pesa Ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji Yake. Aisee uyo labda sio mimi, Vinginevyo nmerogwa.
Afu Kuna watu Sijui wakoje,
Yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokua nao kwenye maisha ya watu wengine.
Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako,utadhani Lina hisa yoyote kwenye harakati zako.
Hizi ni Takataka kabisa,
Tena za kutupa dustbin haraka Sana[emoji34]View attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664
Tujifunze kutofautisha Kati ya kumhonga na kumhudumia KE, Kama gari au nyumba Ni lazima kwenye hayo mahusiano yenu sidhani Kama unakua umemhongaSasa naelewa, hizi ni aina za Me zinazoweza kuhonga hata nyumba. K kama Kei inapagawisha kiasi hicho? Never asee!!!
Huyu mwanamke discipline Ni sifuri," niletee vitu niko nyumbani nakusubilia"
Hii hata mke wako hawez kukuamrisha hvyo..
Hapo ukute kwa mkeo ni mkali km simba wakat majay anakuona we ni paka tu.
Sifikirii kutamka unataka nitamke khs MKE wangu kipenzi, haya Mambo ya michepuko Sijui ata niyaelezeeje unielewe Bila kutumia kauli ngumuWe jamaa una mambo ya ajabu sana, sasa kama unajua mkeo ni muhimu si utulie naye, kwani hicho kidudu mkeo hana
😂Sio kweli mkuu
🤣🤣🤣🤣sawa kiongozi!Tujifunze kutofautisha Kati ya kumhonga na kumhudumia KE, Kama gari au nyumba Ni lazima kwenye hayo mahusiano yenu sidhani Kama unakua umemhonga
Kutana na Ma JayYaani Pesa Ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji Yake. Aisee uyo labda sio mimi, Vinginevyo nmerogwa.
Afu Kuna watu Sijui wakoje,
Yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokua nao kwenye maisha ya watu wengine.
Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako,utadhani Lina hisa yoyote kwenye harakati zako.
Hizi ni Takataka kabisa,
Tena za kutupa dustbin haraka Sana[emoji34]View attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664
D huu ni mchepuko mpya tenaCheka Sana,furahi Sana, ila omba yasikukute[emoji29]
Basi Kuna shida mahali, Msomi bwege huyowa manzese kivipi? Ni msomi kabisa wa diploma