Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kwan mkeo hana kidudu
Yeye anaona kidudu chake kina dhaman kuliko cha mkeo ndiyo maana ulimfuata
Na bado hadi ujambe upepo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani mahusiano Ni biashara mkuu,
Kias kwamba aangalie maslahi yake TU?
Ndio mahusiano na mchepuko ni biashara na siyo upendo, tena kama wewe unayempotezea muda huyo hutaki azae wala aolewe unamtumia tu ndio kabisa unatakiwa kumhudumia bila kutegemea zuri lolote kutoka kwake, ndio maisha uliyoyachagua hayo kubaliana na yote maana unayaendekeza mwenyewe
 
Usimlalamikie huyo mchepuko wewe ndio una matatizo. Unazijua vizuri tabia zake na ushasema mwenyewe huwezi kumuacha hivyo wacha aendelee kukutundika matukio mpaka siku yakushinde ujiondoe mwenyewe.
 
We jamaa una mambo ya ajabu sana, sasa kama unajua mkeo ni muhimu si utulie naye, kwani hicho kidudu mkeo hana
 
Inabidi jamaa akubali kuwa, anapelekeshwa na K ya moto πŸ˜‚
 
Wanawake wote Hawa barabarani eti nikapige puli ili nigundue Nini hasa?

Puli tuwaachie vijana wanaobalehe maana kwa Rika lao, kimaadili na kisheria hawastahili kuzitafuna mbususu[emoji4]
Unapelekeshwa na K ya moto πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Katika pituitary zako na wanawake tofauti, umewahi kukutana na mcheps anayejali welfare ya familia yako? I mean, wewe ni mzoefu wa hizi mambo, kuna Ke wa pembeni anajali maisha yako binafsi bila kuangalia mfuko wako?
 
Sasa mkuu unatulalamikia tukusaidieje?
Pisi umeisaka mwenyewe, umeichakata vya kutosha mpaka kuboa. Sasa maugomvi yenu yanatuharibia mood na michepuko yetu waaminifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…