Kuna michepuko ni takataka kabisa

Kuna michepuko ni takataka kabisa

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,313
Reaction score
109,388
Yaani pesa ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji yake! Aisee huyo labda sio mimi, vinginevyo nimerogwa.

Afu kuna watu sijui wakoje, yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokuwa nao kwenye maisha ya watu wengine.

Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako, utadhani lina hisa yoyote kwenye harakati zako.

Hizi ni takataka kabisa, tena za kutupa dustbin haraka sana.

1079742292.jpg
665589307.jpg
1904642018.jpg
1937933955.jpg
 
Ni hivi,
Ijumaa baada ya kufunga duka nlkua nna ratiba ya kwenda kwake, ghafla nikapewa taarifa MKE wangu kakimbizwa ghafla hospitali, analalamika Tumbo linaamuuma sana.

Kanipigia kuniuliza "vipi mbona ufiki"
Nikamtaarifu sitoweza kuja kwako, niko njiani naelekea hospitali, mke wangu kakimbizwa ghafla. Nashangaa ananitumia sms za kipumbavu, nikaona asije niharibia Siku, nikapata ajali barabarani, sikuzijibu sms zake.

Baadae kanipigia Akisema "Sasa Ni pesa ya matumizi vipi, hamna chochote cha kupika uku? "

Nikamwambia "nenda Duka la mangi Apo jirani, akakupe vitu unavyohitaji vya kupika, nkija ntamlipa pesa yake". Baadae kanirudishia mrejesho kua kamkuta mkewe, kasema hakopeshi.

Nikamwambia, Basi tumia balance yako, nunulia vitu vyote vya kupika, utanipa hesabu Kisha ntaifidia nikija uko kwako. Kasema sawa.

Tangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.

Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.

Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.

HUYU MWANAMKE HANA UTU, UBINADAMU WALA USTAARABU KABISA
 
Ni hivi,
Ijumaa baada ya kufunga duka nlkua nna ratiba ya kwenda kwake, ghafla nikapewa taarifa MKE wangu kakimbizwa ghafla hospitali, analalamika Tumbo linaamuuma sana.

Kanipigia kuniuliza "vipi mbona ufiki"
Nikamtaarifu sitoweza kuja kwako, niko njiani naelekea hospitali, mke wangu kakimbizwa ghafla. Nashangaa ananitumia sms za kipumbavu, nikaona asije niharibia Siku, nikapata ajali barabarani, sikuzijibu sms zake.

Akasema "Sasa Ni pesa ya matumizi vipi, hamna chochote cha kupika uku? "

Nikamwambia "nenda Duka la mangi Apo jirani, akakupe vitu unavyohitaji vya kupika, nkija ntamlipa pesa yake". Baadae kanirudishia mrejesho kua kamkuta mkewe, kasema hakopeshi.

Nikamwambia, Basi tumia balance yako, nunulia vitu vyote vya kupika, utanipa hesabu Kisha ntaifidia nikija uko kwako. Kasema sawa.

Tangu juzi sijakwenda kwake wala kumpigia Simu, nmetuliza akili namuuguza wife kwanza.

Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.

Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.

HUYU MWANAMKE HANA UTU, UBINADAMU WALA USTAARABU KABISA
Huo ni msalaba wako jitahidi uufikishe Golgotha😂😂😂
 
Yaani Pesa Ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji Yake. Aisee uyo labda sio mimi, Vinginevyo nmerogwa.

Afu Kuna watu Sijui wakoje,
Yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokua nao kwenye maisha ya watu wengine.

Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako,utadhani Lina hisa yoyote kwenye harakati zako.

Hizi ni Takataka kabisa,
Tena za kutupa dustbin haraka SanaView attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Hizi story zako za mchepuko ni za kweli (sio chai). Nahisi wewe ni mwanaume dhaifu mno 😂😂😂😂😂. Kwa nini unashindwa kumuacha huyo majay? Je ni uchawi? Au ana K tamu ya moto?

Ila kiufupi wewe ni mwanaume dhaifu mno 😂
 
Leo ananiuliza hivi namchukuliaje,
Hata Salam kuulizia tu mgojwa niliemtaarifu anaumwa kapelekwa hospitali ghafla anaendeleaje, hamna.

Anachoulizia direct Ni pesa zake za matumizi nilizoahidi ntafidia baada ya kuzitumia kugharamia chakula chake mwenyewe.
Huyo siyo mchepuko wa kawaida, atakuwa chuma ulete huyo.
 
Yaani Pesa Ni zangu, nazitafuta kwa jasho langu, eti jitu from nowhere linifokee kunilazimisha nizitumie pesa zangu ili kutimiza mahitaji Yake. Aisee uyo labda sio mimi, Vinginevyo nmerogwa.

Afu Kuna watu Sijui wakoje,
Yaani wanapenda sana kujipa umuhimu mkubwa wasiokua nao kwenye maisha ya watu wengine.

Unashangaa jitu kukutanulia tu mapaja siku mbili tatu, tayari lishajipa hati miliki ya muda wako na uchumi wako,utadhani Lina hisa yoyote kwenye harakati zako.

Hizi ni Takataka kabisa,
Tena za kutupa dustbin haraka SanaView attachment 2838659View attachment 2838661View attachment 2838663View attachment 2838664
Mkuu DeepPond kama DeepPond karibu tena mwalimu wangu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom