Kuna Meli Ngapi Leo? 30! Umesema Ngapi? 30 Mkuu

Maendeleo yataletwa kwa kuuza vitu vyetu nje,sio kuingiza.Kama anakusanya hela mbona hawatuambii makusanyo kama vile walivyofanya mwanzoni wakati wanakusanya Areas?
Hali mbaya ndiyo maana Ngosha ameachana na mambo ya msingi anamkumbatia Daudi Bashite.

Jiulize aliwasifia gazeti la Jamhuri kwa kutonya uozo bandari lakini sasa wanatonya uozo wa elimu kwa wateule wake amekuwa mbogo anaita udaku. Kimsingi ameshakwama kwenye tope.
 
Leo nimebidi nione na bandari nyingine. Kule Mtwara kuna meli 2 na New Arrivals zikiwa 4.
 
Jamani poteeni mazima (jpm) usitake kuturudisha gizani mbona unashindwa kutuelewa
 
Sema hupend kusikia rais akifanikisha jambo.unapenda kusikia kashfa tu.
Kubwa zima hovyooo. Unafiki utakuuwa ww.
Sasa kwanini anakua na kashfa if he is good enough?
 
Labda zimehesabiwa na ambazo ziko njiani huko zinakuja....may be zimeshasogea sogea hadi usawa wa somalia hapo!kwi kwi kwiiiii
Ha ha ha haaaaaaaaa. Hizi za usawa wa Somalia sio za kuzitegemea kabisa, wataziharamia.
 
Hamna ukweli hapo mnatafuta kick iweje yake namba za znz??
 
Mkuu aliona kwenye system mpaka mv Lami, mv Magogoni,mv Kigamboni, mv Mbovu na za Azam ndio maana
 
Hivi zile pesa ambazo mkuu anamsifia rais wa WB kuwa kamwaga sana hapa TZ ni msaada ama mkopo. Maana sielewielewi hivi!
 
Marine track inahesabu mpaka meli za abiria zilizopo eneo la bandari
 
Hivi zile pesa ambazo mkuu anamsifia rais wa WB kuwa kamwaga sana hapa TZ ni msaada ama mkopo. Maana sielewielewi hivi!
Ha ha haaa.. ni mkopo Mkuu, yeye hua hapokei misaada serikali yake inapesa sana.

Hivi zile ndege zingine mbili kubwa zishalipiwa CASH?
 
Hivi Msigwa mpaka sasa hajatoka na Press Release kuwaambia Watanzania kwamba sasa Meli zinaongezeka kuja kwetu na zimefika 30 kwa siku?
 
Hivi kwa nini hawakuwataja walioleta hayo magari wakisingizia ni mitumba ya viatu? Kwani bill of lading ilikuwa inasoma ni Mali za nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…