M
Sasa, maadam imani ya tiba toka Hospital imekwisha na uchawi ama uganga sasa hivi ndio umeshika maamuzi ya wahitaji wengi, tutaendelea kucheza ngoma za kichawi na yeyote anayepinga ngoma za mizimu atafanyiwa kafara...(kina Mwakyembe). Na kibaya zaidi tumeshindwa kujiuliza kwa nini watu wengi hawaendi tena Hospital badala yake wanachezeshwa ngoma za kiasili? - UWEZO! ni asilimi 20 tu ya wananchi wote wanaweza kugharamia tiba ya Hospital zetu, sasa mtu kwenda Loliondo sii kwa sababu anapenda ama kuamini isipokuwa unafuu wake ndio umempa imani mpya...Watu wengi hawailewi katiba mpya italeta ama ina ubora gani kwa sababu hawajawahi kucheza ngoma nyingineyo..
Katiba Mpya haitapatikana kwa matakwa yenu..Hili sio Disco mnakocheza kwa santuri, CD na Video zenye ujuzin wa kubadilisha kila muziki, bali ngoma ya kienyeji ambayo haina vimbwenga vya keyboard mnavyotaka vijana wa generation hii. Sasa aidha mcheze ngoma yao, mvae njuga na madogoli mtaweza kuielewa ngoma yao, laa sivyo tafuteni uwanja mwingine..CCM will never, and I mean never let the Constitution inayowalinda na waliyoizoea ibadilishwe na kuwa ngoma za vijana wa Madisco. Bado mizee tumeshika hatamu na ngoma za kienyeji zitaendelea kupigwa na kama mnataka mabadiliko lazima yawe ktk ngoma za asili..Sisi wazee tutaweza vipi kucheza ngoma yenu vijana? - aaaaah!
Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Mchezo unaochezwa na wenye kucheza hucheza. Mchezo huo huchezwa na wale wenye kuupenda mchezo huo. Ukikaa pembeni wanakushangaa kwa nini hutaki kucheza na ukiingia kucheza utakavyo watakuuliza 'mbona huchezi kama sisi'?
Ukiwaambia mchezo wenu haufuati kanuni wala mlio wa muziki watakuambia haijalishi wewe cheza tu alimradi uonekane unacheza.
Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Ukialikwa kucheza utacheza au utabakia kutazama? Au utajaribu kutaka mchezo ubadilishwe ili wengi waufurahie kwa kufuata kanuni, na mirindimo yenye kuendana na uzuri wa mchezo wenyewe?
Ndugu zangu, kuna mchezo unachezwa, na wapo wenye kupenda kucheza mchezo huo!
MMM
LOL!!Kuna mchezo unachezwa na wapo wanaopenda kucheza mchezo huo. Mchezo unaochezwa na wenye kucheza hucheza. Mchezo huo huchezwa na wale wenye kuupenda mchezo huo. Ukikaa pembeni wanakushangaa kwa nini hutaki kucheza na ukiingia kucheza utakavyo watakuuliza 'mbona huchezi kama sisi'?