Ngoja nimsaidieMkuu tupia na tujina kidogo
Nawakubali sana mzee kuna movie hivi kama sikosei kacheza Denzel Washington ni 1&2 jina limenitoka kidogo mule ameua vibaya kwanza movie imetulia harafu yeye huwa anacheza kama yule mtu hana papara sana ni mtu wa slow anasoma akili,Mkuu kama ulikuwepo yaani, movie akicheza Smith lazima niangalie aisee pia kuna mzee Denzel Washington, Morgan Freeman pamoja na Samuel Jackson.
Ukitaja na movie zao itapendeza
1. Will Smith
Im legend too
I robot
After earth
Mib 1&2,3
Independence Day
Hankonck< mtanisahihisha
2. Samuel Jackson
Tarzan
Avengers zote
Glass
Kingsman
Captain Marvel
Nawakubali sana mzee kuna movie hivi kama sikosei kacheza Denzel Washington ni 1&2 jina limenitoka kidogo mule ameua vibaya kwanza movie imetulia harafu yeye huwa anacheza kama yule mtu hana papara sana ni mtu wa slow anasoma akili,
Kiufupi nilizikubali hizo
Equalizer 1 and 2Nawakubali sana mzee kuna movie hivi kama sikosei kacheza Denzel Washington ni 1&2 jina limenitoka kidogo mule ameua vibaya kwanza movie imetulia harafu yeye huwa anacheza kama yule mtu hana papara sana ni mtu wa slow anasoma akili,
Kiufupi nilizikubali hizo