Kuna mastar Hollywood black Americans movie ambazo atacheza lazima ziwe nzuri mfano hawa hapa

Nawakubali sana mzee kuna movie hivi kama sikosei kacheza Denzel Washington ni 1&2 jina limenitoka kidogo mule ameua vibaya kwanza movie imetulia harafu yeye huwa anacheza kama yule mtu hana papara sana ni mtu wa slow anasoma akili,

Kiufupi nilizikubali hizo
Tafuta moja inaitwa Flight
 
Samuel Jackson; hajawahi kuniangusha, michael jai white; kwenye action movies jamaa anajua kuvunja mifupa, denzel washington, Kevin hart; huyu jamaa anajua kuvaa uhusika wa mtu katika movie.
 
Kevin Hart,
Will Smith,
Tyler Perry,
Jamie Foxx,
Morgan Freeman
Idriss Elba,
Samuel Jackson,
Taraji Henson,
Sanaa Lathan,
Tessa Thompson.

Hii list yangu kabisa mkuu., Wamekosekana hawa tu 👇
Gabrielle Union
Terrence J
Regina Hall
Cassie Ventura
Meagan Good
Lauren london (RIP Nipsey)
Michael Ealy
 
kwenye movie ya Mission Impossible yule black america aliyeza nafasi kama harcking anaitwa nani,
 
Laurence fishburne (Matrix 1,2&3)
Sidney poitier(The defiant one)
Forest whitter (Idd Amin)
Cuba gooding jr (Boys in the hood)
Jamie Foxx (Django unchained)
Terrence howard(Crash,Ironman,epire)
James Earl jones (coming to America)
Wesley Snipes (passenger 57)
Danny Glover (Lethal weapon)
Don Cheadle (hotel Rwanda)
Chadwick Boseman(Black Panther))
Djimon Hounsou (Amistad)
Halle berry (Monster's Ball,Catwoman,X-men)
Angella Basset (Whats love got to do with it)
Anthony Mackie (Captain America)
Mahershala Ali (Green Book)
Blair Underwood (Something new)
John Amos (kunta kinte)
Whoopie Goldberg (Ghost)
Giancalo Esposito (Mandalalorian)
Tayye Digs (private practice)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom