Kuna mastar Hollywood black Americans movie ambazo atacheza lazima ziwe nzuri mfano hawa hapa

jamie fox movie zake law abiding,project power na nyingine nying
michael jai white mwamba wa falcon rising na hard way very awasome this dude
denzel washington mwamba wa equalizer
the rock
chris turker
morgan freeman
samuel jackson
mike tyson

wapo wengi ila hawa nawakubali
 
jamie fox movie zake law abiding,project power na nyingine nying
michael jai white mwamba wa falcon rising na hard way very awasome this dude
denzel washington mwamba wa equalizer
the rock
chris turker
morgan freeman
samuel jackson
mike tyson

wapo wengi ila hawa nawakubali
Tyson?
 
Dada Mmoja anaitwa sanaa..

Huyo ukimuona ktk movie yeyote usijiulize Mara 2..

Dada movie zake zote alizocheza ni nzr..
 
Dada Mmoja anaitwa sanaa..

Huyo ukimuona ktk movie yeyote usijiulize Mara 2..

Dada movie zake zote alizocheza ni nzr..
Sanaa
tapatalk_1615279933286.jpeg
 
Nawakubali sana mzee kuna movie hivi kama sikosei kacheza Denzel Washington ni 1&2 jina limenitoka kidogo mule ameua vibaya kwanza movie imetulia harafu yeye huwa anacheza kama yule mtu hana papara sana ni mtu wa slow anasoma akili,

Kiufupi nilizikubali hizo
EQUALIZER 1&2
 
Chris Turker siku hizi sijui hachezi movie au mimi ndo sijaziona maana nilimcheck tu kwenye mfululizo wa rush hour na jacky chan, na ule mziki wa Michael Jackson nimesahau jina
U rock my world
 
AISEE HUYU JAMAA NAMKUBALI SANA, YUKO SERIUOS IN EVERY MOVIE
Denzel alinifanya niangalie movie yake mpya kiaina ya TOO LITTLE THINGS,japo sikuipenda ila sababu yake inabidi niikubali tu maana hakuna namna.
The man is gettin' old though.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom