Bikira sio reason ya kukataa sex, hata nisingekuwa stl kama makubaliano yalikuwa kutokufanya sex until marriage ningeyasimamia. Wakimbie tu.Hujiamin ktk kujibu, inaonekana wewe sio bikra, sasa hivi kweli umeshaliwa huko kote alafu leo hii uje umuambie mwanaume mpaka ndoa, nani anataka huo ujinga? Utasubiri sana, watakukimbia kila siku
Sasa ikiwa x-wako ulimuacha kwa sababu hio kwanini na huyu usimuache? Huyu sasa amemzidi x-wako kwa kuomba sex mpaka mtoto. Tena anajiona yeye bora kuliko baba na ndugu zako, ama huyo ukimpa papuchi atageuka chura.Mi n mschana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa, nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambayo tulishndwana sababu ya mim kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa. Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafk angu kwa muda mrefu sana twajuana mambo meng na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa, tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadth ya kila siku na nikimkatalia nkimwambia zaid ya kuwa sifany mapenz kabla ya ndoa mtoto ndio asahau anataka mtoto anioe, ananambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao, hv kakasirika toka juz hatujawasiliana kisa nlimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat cjaolewa, eti nawajal ndugu zangu kuliko yeye kwanza c naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa had nkajfungua.
N.b Nimeleta hapa siombi ushaur kwa sababu tayar naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwasabu siwezi kumwadithia mtu.
hapo hamna kitu mdada kimbia fasta, omba Mungu utampata wa kwako, mimi na wife 2be tumeendelea kusubiri mpaka ndoa na tunaendelea, japo mikwaruzo ipo midogomidogo ipo, ila hilo tumelishindaMi n mschana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa, nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambayo tulishndwana sababu ya mim kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa. Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafk angu kwa muda mrefu sana twajuana mambo meng na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa, tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadth ya kila siku na nikimkatalia nkimwambia zaid ya kuwa sifany mapenz kabla ya ndoa mtoto ndio asahau anataka mtoto anioe, ananambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao, hv kakasirika toka juz hatujawasiliana kisa nlimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat cjaolewa, eti nawajal ndugu zangu kuliko yeye kwanza c naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa had nkajfungua.
N.b Nimeleta hapa siombi ushaur kwa sababu tayar naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwasabu siwezi kumwadithia mtu.
kama unayo basi una haki ya kuwa na msimamo ulionao,hongera sanaNdio. Though hata nisngekuwa makubaliano yetu ya awali yalitakiwa kufuatwa.
Aaaah kwani yeye hana genye? kwa nini umpotoshe hivyo?Back to you honey pie, usikubali! Take it from me usikubali,RUN !!!!!
Tapeli wa mapenzi huyo...ukikubali kumpa kisambusa chako tu basi haja yake itakua imekwisha. Tena kwa usalama wako kaa mbali nae. Hongera binti kwa msimamo, u r a kind of a girl we want to hear about....Stay focused!Mi n mschana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa, nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambayo tulishndwana sababu ya mim kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa. Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafk angu kwa muda mrefu sana twajuana mambo meng na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa, tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadth ya kila siku na nikimkatalia nkimwambia zaid ya kuwa sifany mapenz kabla ya ndoa mtoto ndio asahau anataka mtoto anioe, ananambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao, hv kakasirika toka juz hatujawasiliana kisa nlimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat cjaolewa, eti nawajal ndugu zangu kuliko yeye kwanza c naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa had nkajfungua.
N.b Nimeleta hapa siombi ushaur kwa sababu tayar naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwasabu siwezi kumwadithia mtu.
kama unayo basi una haki ya kuwa na msimamo ulionao,hongera sana
Mi n mschana mwenye umri wa kuolewa na kuwa mama kabisa, nina mahusiano ambayo tulipanga mwakani tufunge ndoa. Kabla ya kuwa na uhusiano na mpenzi wangu wa sasa nilikuwa na uhusiano ambayo tulishndwana sababu ya mim kukataa sex mpaka ndoa, mwenzangu akashndwa uvumilivu akawa na mahusiano mengne ambayo yalipekea uhusiano wetu kufa. Mpenz wangu wa sasa alikuwa rafk angu kwa muda mrefu sana twajuana mambo meng na stand yangu anaijua na kabla sijaanza nae mahusiano nilimwambia reason ya kubreak up na x wangu nae akawa tayari kusubiria mpaka ndoa, tatizo sasa yeye zaidi ya kutaka sex anataka na mtoto kabla ya ndoa na ndio hadth ya kila siku na nikimkatalia nkimwambia zaid ya kuwa sifany mapenz kabla ya ndoa mtoto ndio asahau anataka mtoto anioe, ananambia kuoa mpaka ajipange ila uwezo wa kulea mtoto anao, hv kakasirika toka juz hatujawasiliana kisa nlimwambia siwez kupita mbele ya baba na kaka zangu na tumbo mbele wakat cjaolewa, eti nawajal ndugu zangu kuliko yeye kwanza c naish kwangu hao ndugu zangu naweza wakwepa had nkajfungua.
N.b Nimeleta hapa siombi ushaur kwa sababu tayar naujua msimamo wangu natoa tu ya moyoni nipunguze hasira kwasabu siwezi kumwadithia mtu.
Weee!!!! sema kweli.Ndio. Though hata nisngekuwa makubaliano yetu ya awali yalitakiwa kufuatwa.
Mh! ya kweli haya mkuu!? kuna jamaa yangu alibaniwaga na demu mpaka ndoa, jamaa alikubali wakakaa kama mwaka hivi bila kuonjana ile kuja kumuoa demu ana mimba tayari.hapo hamna kitu mdada kimbia fasta, omba Mungu utampata wa kwako, mimi na wife 2be tumeendelea kusubiri mpaka ndoa na tunaendelea, japo mikwaruzo ipo midogomidogo ipo, ila hilo tumelishinda