Kuna mapengo hayazibiki🥹

Kuna mapengo hayazibiki🥹

Fanya kama ulipendelewa tu kuwa na hao watu, lakini wote tutafariki.

Ni muhimu kukumbuka, lakini focus kwa waliobaki na maisha yanayoendelea.

Na humo humo katika kufocus kwa waliobaki na maisha yanayoendelea, unaweza kupata namna ya kuwaenzi waliotangulia.
Asante kaka naichukua hii
 
Yeyote aliye chini ya hii dunia anareplecika vizuri tu, acha kujiendekeza. Find a way 😁

Kazi ni nzito kwa walio tangulia mbele ya haki😥 tarehe kama ya leo ametimiza mwezi mmoja tangu aamue zake kulala milele. Najitahidi kupona ila badooo.. kuna muda nafeel kama vimetokea jana tu..
Kabisa kabisa. Hakunaga unreplaceable person dunia hii. Siku 2 nyingi ushasahau kila kitu 😂
 
Back
Top Bottom