lakini umevutiwa ndio maana ukaja hukuMkuu umeona screenshot ya hiyo post hapo juu? Uliza ni ios au android![]()
Ni kweli mkuu,wana tuumbua na Y2 zetuWameseti vibaya signature.
Jamani mset vizuri signature zenu iwe Customer au option nyingine na wala sio ile ya kuonesha aina ya vimeo vyenu
Duuh..kumbe imeonekanaNi kweli mkuu,wana tuumbua na Y2 zetu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app



iko wapii![]()
![]()
![]()
Afu nakutafuta ujue...![]()
![]()
sent from my nokia torch using jamii forum application
Kumbe!? Afadhali aseeHaahaaaa. Tecno katika ubora wake ndio zimetawala hapa. Ukiangalia vizuri wanaotumia JF Mobile App ndio kuna hiyo signatureu

niirudishe??Ahaha umeondoa signature
Haya maybe huku hawataniona
Sent from my Dell Laptop using Jamii Jorums mobile app
dell laptopniirudishe??
nipo nimejaa tele hukuAfu nakutafuta ujue...

we yako iko wapiNdio

Na unajua napokutafutia....nipo nimejaa tele huku![]()