Kuna mambo ya maendeleo Tanzania twapaswa kumpongeza sana Magufuli, na kuna mambo ya kukandamiza demokrasia Tanzania twapaswa kumkosoa sana Magufuli

Sio kwamba wanapiga kelele tuwaridhishe wao Bali wanapiga kuwaeupusha na gharama za kuhudumia wakimbizi duniani.Watawala wa kiafrica sababu ya kutoheshimu katiba zao ndio uzalishaji wakimbizi duniani na kuwapa wengine kazi ya kuhudumia wakimbizi.
Mentality ya waafrika wengi in kumfanya marekani kuwa askari Wa masuala yetu ya ndani. Tuna elimu ya kututosha kutuwezesha kutatua matatizo yetu ya ndani. Hata wao wanapambambana na ya kwao wenyewe. Kwa watawala pia haimaanishi kwamba watumie nguvu za ziada kututawala. Tumewapa dhamana ya kutuongoza ila kwa kufuata taratibu zinazoeleweka kama tulivyokubaliana.
Tukubali luongozwa ila tukatae kukandamizwa. Keki in yetu site na tuna haki ya kuuliza kwa njia zilizoainishwa na sheria na taratibu.
 
Kama hatuwezi kujiongoza kwann tusiwategemee angalau wao.Tunashindwa kuheshimu taratibu na sheria za kujiongoza, badala ya kuongoza watu tunawatawala watu.Tunawanyima Uhuru wao.Bado Sana waafrika kujiongoza.
 
Tukiendelea kusema usemayo hatutakaa tutoke kwenye hizi fikra. Tunatakiwa tufikiri sisi wenyewe. In wakati Wa kuamua mabo yetu sisi wenyewe.

Miaka 60 sasa kila siku tunarudia the same mistake.Matatizo ya afrika chanzo ni kutoheshimu katiba.
 
Demokrasia ina mipaka yake hata kule ilikoanzia ina mipaka. Mfano kuna kiongozi wa upinzani aliwahi kuhojiwa akawa anawatetea mashoga, unataka Mkuu wa nchi aruhusu hayo mambo!

Fanyeni siasa safi acheni propaganda mkinywa konyagi mkilewa msiisingizie Serikali
We jamaa ni low score😀.
 
Ni Yesu wao wa CCM kwenye democracy iliyokomaa ambako mbwakoko akina Cecilia mwambe watapata uenyekiti pamoja na sumaye, na Waitara anaeyeugua corona
 
Demokrasia ina mipaka yake hata kule ilikoanzia ina mipaka. Mfano kuna kiongozi wa upinzani aliwahi kuhojiwa akawa anawatetea mashoga, unataka Mkuu wa nchi aruhusu hayo mambo!

Fanyeni siasa safi acheni propaganda mkinywa konyagi mkilewa msiisingizie Serikali
Mtoa mada hakua na bias kwa UPANDE wowote....
Kinacho Ni shangaza wew kawe alumni
Najaribu kufikiria....Ni vipi UKIWA na mamlaka na bastola mkononi alaf mtu akuletee maneno na hoja zake Kama hizi
Haaahaa hakika utamtengua mguu na utampa kesi ya wizi wa kutumia silaha
Nakusalimia mkuu,
Kuna muda unaweza waza wapinzani kukubuguzi Kama kunguni kweny kitanda chako....
 
Back
Top Bottom