Hayati Magufuli alionya Maandamano yatachelewesha Maendeleo ya nchi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Tunakumbushana tu, Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alituachia wosia kuwa tukiendekeza Maandamano Uchumi wa nchi utayumba na hapatakuwa na Maendeleo yoyote.

Nalisema hili kwa sababu napitia nukuu zake mbalimbali kipindi hiki tunapoelekea kwenye Kumbukizi lake la miaka 3.

Mungu wa mbinguni Hayati Shujaa Magufuli, Tarehe 17 March ni Kumbukizi la Shujaa Magufuli.
 
Maandamano huchukua si zaidi ya saa moja kwenye siku 365 kwa eneo husika.Athari ipi kiuzalishaji imetokea ikiwa haohao waandamanaji ndiyo watumiaji wa vyombo vya usafiri na wanunuzi wa bidhaa za waliopo barabarani na pembezoni mwao?
Una uhakika?🐼
 
Back
Top Bottom