Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

Hao hao wawili wanatosha , labda nikupe namba ya mama yao uendeleze harakati Kisha ulete mrejesho humu
Huwezi kupata ushauri wa maana kwa sababu jambo lako halijakamilika, ongezea na mama yao halafu njoo sasa upate ushauri murua.
 
Huu uzi unaonesha dalili za Awali za madhara utakayoyapata! Jiandae kisaikolojia tuu...
 
Yawezekana na wao huko pia wanafurahia jinsi walivyo kupata wote wawili, tena bila ya wewe kujuwa kama umenyandua mtu ma mdogo wake..
By the way, sio mbaya na mbinguni unaenda...teh
 
Sijui ,niulize habari za uchaguzi wa serikali za mitaa nitakujibu@TEMBO KICHAKA,
 
madhara watakapo dundana huko watoane ngeu

alie jeruhiwa akuendee kwa mganga akuloge uwe zezeta.
 
mbona kitu ndogo sana hiyo...tyena kwa jinsi wanawake wasivyoeleweka wanaweza kupatana zaidi wakishagundua umewagegeda wote wawili
 
Back
Top Bottom