Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

contour

Member
Dec 2, 2018
51
45
Habarini wa JF katika pilika pilika za hapa na pale za kuhakikisha naupatia chakula chake mkuyate wangu nimejikuta nimegegeda dada na mdogo wake.

Naombeni kujua Kuna mdhara yapi yatakayojitokeza kwangu ama kwao kutokana na kitendo hicho?

Asanteni
 
Asante kwa ushauri, ila haikuwa kazi rahisi kuwapata hao wote wawili hapakuwa na mteremko au masihaha katika kuwapata japo haikuwa lengo nigegede ndugu
Kwanini hii stori yako usiiboreshe kidogo na kuipeleka kule kwenye uzi wa bwana rikiboy!?

Uzi wa kula tunda kimasihara!?

Eti mkuu, unaonaje!?
 
Sasa hivi ngojea tu matokeo. Utakapojikuta unatetemeka hovyo ka umeingiziwa upepo punda ndo utajuta. Ngoja kwanza wajitambue ndo utajilaani
 
Habarini wa jf katika pilika pilika za hapa na pale za kuhakikisha naupatia chakula chake mkuyate wangu nimejikuta nimegegeda dada na mdogo wake.

Naombeni kujua Kuna mdhara yapi yatakayojitokeza kwangu ama kwao kutokana na kitendo hicho?

Asanteni
Utauwawa wakigundua umewachanganya
 
Mamvo mengine ni kujitafutia laana tu...ikianza kupata mikosi usiulize kwanini,pia wakijitambua hao lazma wakufanyizie ni suala la MUDA tu
 
Back
Top Bottom