Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake.
CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu, zipo hasara nyingi kwa chama kubadilika kupambana kihoja kuliko faida kwa chama.
Hili lisipochukuliwa kwa utafiti mkubwa hakika lipo anguko kubwa kwa chama.
Chama kitakuja kufutika kwenye mifumo ya vyama vya siasa bila kutazamia.