blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,269
- 1,148
uneandika kwa uchungu sana kumuasa huyo kijana mwenye umatemate na wake za watu. Kwanini asioe tu aachane na hiyo mambo.Hapana mkuu mimi bado nipo nipo sana.
uneandika kwa uchungu sana kumuasa huyo kijana mwenye umatemate na wake za watu. Kwanini asioe tu aachane na hiyo mambo.Hapana mkuu mimi bado nipo nipo sana.
Vijana tunapoteza nguvu nyingi sana kwenye mapenzi tunasahau mambo mengine ya muhimuuneandika kwa uchungu sana kumuasa huyo kijana mwenye umatemate na wake za watu. Kwanini asioe tu aachane na hiyo mambo.
tuwe na kikomo tu haya mambo huwezi tosheka ila utaishia kupata majanga mengineVijana tunapoteza nguvu nyingi sana kwenye mapenzi tunasahau mambo mengine ya muhimu
hamna shida kikubwa tembea tu na ky mfukonUmeoa, umepanga katika nyumba ambayo kuna mpangaji mwingine ambae nae ana mke. Ikatokea kitu kama umemwelewa mke wa mpangaji mwenzio hivi ukimramba kuna ubaya gani most especially pale unapoona kabisa kua chance ya kukamatwa ugoni ni 0.001℅??
Hebu mabaharia mlio wahi kuzamia meli za namna hii tupeni uzoefu wenu.
Umeoa, umepanga katika nyumba ambayo kuna mpangaji mwingine ambae nae ana mke. Ikatokea kitu kama umemwelewa mke wa mpangaji mwenzio hivi ukimramba kuna ubaya gani most especially pale unapoona kabisa kua chance ya kukamatwa ugoni ni 0.001℅??
Hebu mabaharia mlio wahi kuzamia meli za namna hii tupeni uzoefu wenu.
kanuni ya dunia ipo wazi, ukifanya kitu kisicho haki, basi kitu hicho kitakurudia wewe mwenyewe. Sema watu huwa hawaamini amini mpaka kitu kimtokee ndio hugundua kuwa alikuwa akijidanganya. Kiufupi, wewe mrambe tu ili urambwe; ndipo utakapojua kama kuna tofauti kati ya 'r' na 'l'Umeoa, umepanga katika nyumba ambayo kuna mpangaji mwingine ambae nae ana mke. Ikatokea kitu kama umemwelewa mke wa mpangaji mwenzio hivi ukimramba kuna ubaya gani most especially pale unapoona kabisa kua chance ya kukamatwa ugoni ni 0.001℅??
Hebu mabaharia mlio wahi kuzamia meli za namna hii tupeni uzoefu wenu.
mkuu, kiongozi kaona madhara makubwa kuliko faida! Mabaharia mpaka liwakute jambo ndo waelewe.uneandika kwa uchungu sana kumuasa huyo kijana mwenye umatemate na wake za watu. Kwanini asioe tu aachane na hiyo mambo.
Hiyo namba 2 ni tamu aisee kuacha mademu wa kazini ni ngumu sana kwa kweliKuna baadhi ya kanuni za maisha ukijiwekea zitakusaidia sana kama;
1. Usichepuke na manzi wa mtaani
2. Usitoke na manzi wa kazini kama umeajiriwa au kujiajiri.
3. Usitoke na dame wa rafiki/ mwana
4. Usitoke na mke wa mtu unaejua ni mke wa mtu....
5. Usitoke na rafiki ya manzi yako.
Hii desturi itakulindia heshima yako japo unaweza kuwa na vimeo vyako tu.
Dunia ina watu zaidi ya 7bn chagua huko kwingine...
Siku mkipishana unaweza kuharibu kazi au ukawa huna raha majungu yakipikwa yakapikika.Hiyo namba 2 ni tamu aisee kuacha mademu wa kazini ni ngumu sana kwa kweli