Kasomeko
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 625
- 1,213
Umeoa, umepanga katika nyumba ambayo kuna mpangaji mwingine ambae nae ana mke. Ikatokea kitu kama umemwelewa mke wa mpangaji mwenzio hivi ukimramba kuna ubaya gani most especially pale unapoona kabisa kua chance ya kukamatwa ugoni ni 0.001℅??
Hebu mabaharia mlio wahi kuzamia meli za namna hii tupeni uzoefu wenu.
Hebu mabaharia mlio wahi kuzamia meli za namna hii tupeni uzoefu wenu.