ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,426
- 24,148
VIdeo tuone izo sheltersUmeongeza chumvi!
Casualities ni madhara siyo Maafa!
Waisrael wengi wako kwenye Shelters.
VIdeo tuone izo sheltersUmeongeza chumvi!
Casualities ni madhara siyo Maafa!
Waisrael wengi wako kwenye Shelters.
Wenzetu dunia ya kwanza huwa wanakokotoa vizuri mahesabu yao kivita hata miaka 20 mbele kabla ya kuingia vitani.
Kwa akili za kawaida tu Israel haikuwa ya kuendelea kuisogelea tena Iraq ilihali hivi karibuni imetumia Human na non resources powers kupigana na Hamas, Hezbollah na Wa-houth mfululizo bila kupumzika.
Cha kushangaza bado kuna majitu huendelea kuona nguvu ya Wayahudi ni ya kubahatisha kupambana na hizo njemba zote, tukiacha undezi wa kidini kwa namna yoyote ile Israel ni next level katika ujasusi, mbinu na timings za kivita.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kanchi kenyewe kadogo kama ukubwa wa Mbagala rangi 3 lakini Kila siku wao wanaleta vurugu....hyu Mzee wa Iran akae pembeni kidogo aziachie damu changa zilizokula mirungi zifanye kazi.....lugha pekee inayotambulika na kueleweka kwa taifa teule ni kula makonzi ya utosi....wanatakiwa wadundwe mpk next time wakifikiria kufanya ujinga Tena wasiwe hata na hamu ya kufanyaNgoja tuone kama Iran ni Hizbollah au ni Houth. Israel aache kuomba misaada ya western sasa atulie apigane. Yeye si anajidai kidume hapo middle east?
Mwanaume umeanzisha vita mwenyewe halafu ukianza kupigwa unaita majirani wakusaidie. What a shame!
Propaganda hata mimi nawezaandika nikatupia huko mitandaoni.
Hivi ndivyo Iran ilivyo ipiga Israel ndani ya siku 2 tu. Natamani hii vita ipigwe angalau kwa mwezi mmoja hivi bila kupumzika Tel Aviv ibaki magofu labda ndio wataelewa nini maana ya vita
View: https://youtube.com/shorts/T5X97mK-bE8?si=Ss1UEpB_hR0D_eNa
SHETANYAHU got what he requested from Iran
View: https://youtube.com/shorts/jrcjXhJpg1s?si=ggdu0-ChsxN7xvbB
THAAD MY FOOTUkiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete!
Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel
![]()
Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel
Strikes hit central and north Israel as the Israeli military carries out further attacks in Iran.www.bbc.com
Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'
Sunday 15 June 2025 04:14, UK
![]()
Trump-Iran live: 'Death to America' chants in Tehran - as Iran hits out at Trump's 'unacceptable' remarks about supreme leader
Donald Trump lashed out at Iran's supreme leader over claims Tehran won the war against Israel. But Iran's foreign minister warned the US president about his "disrespectful and unacceptable tone". Follow live and listen to Trump 100 below.news.sky.com
Iran hit with new strikes after launching missile barrage into Israel
15/06/2025
![]()
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
Nyongeza:
Iran fires missiles at Israel, kills 7, after attacks on oil sites
![]()
Israel-Iran updates: IRGC intelligence chief, two generals killed
IRGC’s intelligence chief and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.www.aljazeera.com
![]()
Iran warns foreign weapons deliveries to Israel are ‘legitimate target’: Live Updates
Iran has threatened to strike shipments of military aid to Israel as hostilities between the two countries continueswww.rt.com
TookaGod Bless Iran
God Bless True Promise 3
Ayatollah shikilia hapohapo, huyu mwehu kaweka THAAD kwenye makazi ya watu
PropagandaTHAAD MY FOOT
Hawa jamii wanafanya vita kama Simba na Yanga?
Propaganda kwa account ambayo ni verified?. Ingia X kwenye hio account ujiridhishe kama ni yeye au laa?.Propaganda hata mimi nawezaandika nikatupia huko mitandaoni.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ole wake nisikie mtu anasema PRAY FOR israel.Irani yeye kapaniki, anarusha makombora hovyo hovyo tu na anapiga makazi. Israel Hadi Sasa kashapiga target maalumu 150 za kijeshi na kiuchumi. Keshaua cream kubwa ya viongozi wa kijeshi na wanasayansi wa silaha. Lakini hata vifo na majeruhi Irani imesha suffer sana toka juzi.
By simple calculation, na ukizingatia Iran ni hoi kiuchumi, utaweza kujua ni nani anakula hasara ya majuto.
Ole wako nikusikie ukilia Israel anaua WatotoOle wake nisikie mtu anasema PRAY FOR israel.
Israel ataadabishwa na atajuta kuwa mchokoziOle wako nikusikie ukilia Israel anaua Watoto
Ni sawa tu si ndio vita ilivyo. Ukipiga unapigwa. Huko Iran tunajua kuna maafa ila Israel hajazoea neno maafa. Ndio mana tunafurahi kuona maafa ya IsraelMaafa Iran ni makubwa sana ni kwakua Iran huruhusiwi kupiga picha na hakuna internet
Na wewe unaamini kabisa,kwanini kule gaza akupigwi sehemu maalum 😀Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Au sio unafulahisha we kiaziMaafa Iran ni makubwa sana ni kwakua Iran huruhusiwi kupiga picha na hakuna internet