Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,054
Munguwake The US na EUMungu wa Israel chaliiiiii.....
Amelala yooo!
Munguwake The US na EUMungu wa Israel chaliiiiii.....
Amelala yooo!
Putin anachekea chooni.....naona atamhimiza Ayatollah amtandike zaidi Israel ili wamagharibi wajitoea kabisa kule UkraineNi kweli mkuu,Trump kashaanza kupiga simu Russia kumshinikiza azungumze na Iran.
Ila wewe sindio Yoda wa Special military operation pale kivuMaafa Iran ni makubwa sana ni kwakua Iran huruhusiwi kupiga picha na hakuna internet
Kwa Hamas mlisema hivyo hivyo na avatar zenu mkaweka bendera za Hamas kipo wapi?Israel ataadabishwa na atajuta kuwa mchokozi
Ukipenda chongo, huita kengeza!Eti kwenye shelters. Hahaha
Kwa Hamas inaitwa mahandaki kwa waisrael ni shelters.. waambie wakae huko huko wasitoke nje kunawaka moto
Hiyo ndio dawa hasa inayoweza kutibu ugonjwa wao wa kiburi.Kanchi kenyewe kadogo kama ukubwa wa Mbagala rangi 3 lakini Kila siku wao wanaleta vurugu....hyu Mzee wa Iran akae pembeni kidogo aziachie damu changa zilizokula mirungi zifanye kazi.....lugha pekee inayotambulika na kueleweka kwa taifa teule ni kula makonzi ya utosi....wanatakiwa wadundwe mpk next time wakifikiria kufanya ujinga Tena wasiwe hata na hamu ya kufanya
Gaza hata kama ni mimi nakutandika kivyovyote maana hujavaa sare za jeshi upo kiraia 24/7, unashinda na kuzurura kwenye makazi ya Watu kama kichaka cha kujificha.Na wewe unaamini kabisa,kwanini kule gaza akupigwi sehemu maalum 😀
Usijechoma kitu moto!Iran imenifurahisha sana ngoja nikachome kilo 1 nile mwenyewe
BurudaeUsijechoma kitu moto!
Hamas sio Iran.Kwa Hamas mlisema hivyo hivyo na avatar zenu mkaweka bendera za Hamas kipo wapi?
Hamas = Iran angalia benderaHamas sio Iran.
Kuweni na akili basi hata kidogo.
Iran ni taifa lenye nguvu kamili.
Embu kwa utimamu wenu rejeleeni vita ya Iraq-Iran war 1980-1988.
Mnaropoka tu aisee.
Enjoy your bundleJamani tupeni ratiba ya usiku wa leo kuamkia kesho. Nani atampiga mwenzake.
Unajua hizi amshaamsha zinatusaidia sana sisi wengine ambao mambo yetu hayaendi hela hakuna, ndoa mgogoro tu. Mfano ni mgogoro wa Ukraine umenisaidia sana kupunguza stress maana imegeuka kuwa burudani kwangu. Imefika pahala natamani nyuklia ipigwe . PIA NATAMANI SANA YESU ARUDI MAANA DUNIA IMEJAA KIBURI SANA, IKIWA NI PAMOJA NA BOSS WANGU WA KAZINI
Enjoy your bundle
Huu uongo tushauzungumzia sana humu.. hiki ni kichaka cha kujifichia ili waue raia.. hivi hao hamas ikiwa wanajificha kwa raia kwa hiyo hao raia wana miili ya chuma risasi haziingiiHamaz nao hawana mikakati, badala wajitenge waingie front wao kama wao, wanajichanganya na raia ili iwe ngao yao, wakipigwa inaonekana Israel anaua raia
Usinifanye mm semi literate kiasi hicho. Nimekwambia KijamaicaAngalia isije kuwa AI ukaingia mkenge