Ndo madhara ya vita hayo, badala ya kuomba amani Kwa Mungu wapumbavu wanashangilia, vita Haina macho. Tuombe Mungu alete amani Kwa hili.Kuna nchi inapiga sehemu maalum wala si makazi ya Watu na nchi nyingine inapiga popote tu, kati ya hizi nchi mbili ipi inaonekana iko vizuri zaidi kwa mbinu bora kivita?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Irani yeye kapaniki, anarusha makombora hovyo hovyo tu na anapiga makazi. Israel Hadi Sasa kashapiga target maalumu 150 za kijeshi na kiuchumi. Keshaua cream kubwa ya viongozi wa kijeshi na wanasayansi wa silaha. Lakini hata vifo na majeruhi Irani imesha suffer sana toka juzi.Naomba nijue madhara boss
Samia aingilie kati huu mgogoro ili ainusuru Israel kama alivyoinusuru Derby.God Bless Iran
God Bless True Promise 3
Ayatollah shikilia hapohapo, huyu mwehu kaweka THAAD kwenye makazi ya watu
Ile simu ilipigwa na putin kasome vizuriNi kweli mkuu,Trump kashaanza kupiga simu Russia kumshinikiza azungumze na Iran.
Tunaomba Netanyahu akimaliza na Iran aje atusaidie na nyie MCCM. Apige target 2 tu pale Kizimkazi na Msoga. 😁😁😁Irani yeye kapaniki, anarusha makombora hovyo hovyo tu na anapiga makazi. Israel Hadi Sasa kashapiga target maalumu 150 za kijeshi na kiuchumi. Keshaua cream kubwa ya viongozi wa kijeshi na wanasayansi wa silaha. Lakini hata vifo na majeruhi Irani imesha suffer sana toka juzi.
By simple calculation, na ukizingatia Iran ni hoi kiuchumi, utaweza kujua ni nani anakula hasara ya majuto.
Sio Putin bro.Ile simu ilipigwa na putin kasome vizuri
Shikilia hapo hapo mpaka akuambie hayo madhara mkuu.Naomba nijue madhara boss
Tatizo mko too misinformed.Irani yeye kapaniki, anarusha makombora hovyo hovyo tu na anapiga makazi. Israel Hadi Sasa kashapiga target maalumu 150 za kijeshi na kiuchumi. Keshaua cream kubwa ya viongozi wa kijeshi na wanasayansi wa silaha. Lakini hata vifo na majeruhi Irani imesha suffer sana toka juzi.
By simple calculation, na ukizingatia Iran ni hoi kiuchumi, utaweza kujua ni nani anakula hasara ya majuto.
Mkuu Putin ndio alipiga simu kulaani mashambulizi ya Israel na hii ilikua baada ya kituo cha mafuta na gas kushambuliwaSio Putin bro.
Simu unadhani ilipigwa moja?
Nenda kasome vizuri kaka.
Wakina Netanyahu hawana huo muda wa kumsikiliza Rais wetu kipenzi.Samia aingilie kati huu mgogoro ili ainusuru Israel kama alivyoinusuru Derby.
Ngoja nikasome vizuri.Mkuu Putin ndio alipiga simu kulaani mashambulizi ya Israel na hii ilikua baada ya kituo cha mafuta na gas kushambuliwa
Putin ndo kapiga simu kulalamika na kumpogeza Trump kwa happy birthday to you.Ngoja nikasome vizuri.
Na walivyokuwa waongo watakwambia hajafa hata panya.. hamas kikundi cha kujihami kisichokuwa hata na kifaru kimoja zaidi ya magobore na mawe na wamemtoa kijasho zayuni itakuwa Iran mwenye nyuklia na makombora ya ballisticUkiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete!
Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel
![]()
Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel
Strikes hit central and north Israel as the Israeli military carries out further attacks in Iran.www.bbc.com
Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'
Sunday 15 June 2025 04:14, UK
![]()
Trump-Iran live: 'Death to America' chants in Tehran - as Iran hits out at Trump's 'unacceptable' remarks about supreme leader
Donald Trump lashed out at Iran's supreme leader over claims Tehran won the war against Israel. But Iran's foreign minister warned the US president about his "disrespectful and unacceptable tone". Follow live and listen to Trump 100 below.news.sky.com
Iran hit with new strikes after launching missile barrage into Israel
15/06/2025
![]()
France 24 - International breaking news, top stories and headlines
Breaking news and world news from France 24 on Business, Sports, Culture. Video news. News from the US, Europe, Asia Pacific, Africa, Middle East, Americawww.france24.com
Nyongeza:
Iran fires missiles at Israel, kills 7, after attacks on oil sites
![]()
Israel-Iran updates: IRGC intelligence chief, two generals killed
IRGC’s intelligence chief and two other generals were killed in Israeli attacks on Sunday.www.aljazeera.com
![]()
Iran warns foreign weapons deliveries to Israel are ‘legitimate target’: Live Updates
Iran has threatened to strike shipments of military aid to Israel as hostilities between the two countries continueswww.rt.com
Kabisa mkuu.Ndo madhara ya vita hayo, badala ya kuomba amani Kwa Mungu wapumbavu wanashangilia, vita Haina macho. Tuombe Mungu alete amani Kwa hili.
Gaza hata kama wewe ndiye ungekuwa Israel ungefanya hivyo hivyo maana unayepigana naye hana sare maalum ya jeshi lake na kajificha miongoni mwa makazi ya raia.kama Israel inavyofanya Gaza ? ikiuma unachomoa, tulia dawa iingie, bado wave ya 6 iko njiani
Kati ya hizo nchi 2 ni ipi iliyoanza kulipua makazi ya Watu?Mkuu usitake kutudanganya.
Israel inalipua makazi ya watu pia.
Hadi sasa imekua raia wa Iran zaidi ya 140 na kujeruhi zaidi ya 350.
Na palipopigwa ni makazi ya watu.
Gaza hata kama wewe ndiye ungekuwa Israel ungefanya hivyo hivyo maana unayepigana naye hana sare maalum ya jeshi lake na kajificha miongoni mwa makazi ya raia.Vipi kuhusu Gaza