Kuna maafa makubwa huko Israel!

Kuna maafa makubwa huko Israel!

Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete!

Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel​


Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'​


Sunday 15 June 2025 04:14, UK

Iran hit with new strikes after launching missile barrage into Israel​


15/06/2025


Nyongeza:

Iran fires missiles at Israel, kills 7, after attacks on oil sites​



Duuu mpaka Ayatollah kaamua kuongea kijamaica
 
Wayaudi wameficha vifaa vyao kwenye makazi ya kawaida.. Hata jengo la kuifadhia jet fighter lililolipuliwa jana walidai ni makazi ya watu kumbe wanahfadhia ndege.. Vita ni zaidi ya akili yako ya kawaida inavyowaza..
Pili kama sheria za kivita wote wawili wameshavunja..

Kwahyo acha mbungi ipigwe we endelea kuwa mtazamaji.

Ilianza Israel siku ya kwanza ya mashambulizi.
Iliua raia 80 na kujeruhi raia 324 tena katikati ya Jiji la Tehran.
Bila vyanzo vya taarifa unayoielezea hapa ni sawa na chai ya rangi bila sukari Mkuu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Na walivyokuwa waongo watakwambia hajafa hata panya.. hamas kikundi cha kujihami kisichokuwa hata na kifaru kimoja zaidi ya magobore na mawe na wamemtoa kijasho zayuni itakuwa Iran mwenye nyuklia na makombora ya ballistic
Hamaz nao hawana mikakati, badala wajitenge waingie front wao kama wao, wanajichanganya na raia ili iwe ngao yao, wakipigwa inaonekana Israel anaua raia
 
Ukiona Wamagharibi wanakiri hivi, ujue hali ni tete!

Multiple casualties reported as Iranian missiles hit Israel​


Missiles from Iran and Yemen 'hitting Israel'​


Sunday 15 June 2025 04:14, UK

Iran hit with new strikes after launching missile barrage into Israel​


15/06/2025


Nyongeza:

Iran fires missiles at Israel, kills 7, after attacks on oil sites​



Hawa Mayahudi washazoeq kuonea wapalestina ambao wanawafanya wanavyotaka na bado wanashindwa, sasa wameenda kuchokoza mzinga wa nyuki wacha walipate balaa lake, mtoto akililia wembe mpe, Israel ni kama toto tundu, kibaka teja anafanya madhambi yake anajua mamaake marekani yupo,
 
Irani yeye kapaniki, anarusha makombora hovyo hovyo tu na anapiga makazi. Israel Hadi Sasa kashapiga target maalumu 150 za kijeshi na kiuchumi. Keshaua cream kubwa ya viongozi wa kijeshi na wanasayansi wa silaha. Lakini hata vifo na majeruhi Irani imesha suffer sana toka juzi.

By simple calculation, na ukizingatia Iran ni hoi kiuchumi, utaweza kujua ni nani anakula hasara ya majuto.
Wewe unajifyatua naona, Haifa Port ilikua under attack jana, Major Gas storage facilities ndani ya Tel Aviv ilikua inawaka moto jana.
Ukitaka na ushahidi wa Video nakupa. Usi amini ushahidi wa CNN na BBC. Ingia twitter na Telegram channel utajionea.
 
Vyanzo vimeletwa kama hujasoma hiyo ni shida yako bro.
Tafuta nyuzi za Israel ikiishambulia Iran siku ya kwanza Ijumaa.
Kumbe unaleta hadithi za Abunuwasi katika ulimwengu wa logic na facts? pita kushoto Mkuu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kumbe unaleta hadithi za Abunuwasi katika ulimwengu wa logic na facts? pita kushoto Mkuu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Usipende kujitia upofu bro.
Nakusindikiza na hiyo.
Screenshot_20250615-113203.png
 
Usipende kujitia upofu bro.
Nakusindikiza na hiyo.View attachment 3369407
Google si chanzo sahihi cha taarifa zozote za habari Mkuu, hata mimi naweza kuandika upuuzi nikatupia hapo.
Weka vyanzo mbali mbali vinavyofahamika ni sahihi na ni kazi zake kama CNN, BBC, REUTERS, 24 HOURS, SKY NEWS n.k.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom