Kuna kitu tunafichwa TRA

Kuna kitu tunafichwa TRA

Habari zenu wana jamvi ndugu zangu akili yangu inanituma kuamini kuwa watanzania kuna kitu tunafichwa pale TRA.

Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi. Baada ya kufuta bodi hapo hapo mkuu wa nchi anamteuwa Naibu Kamishna nafasi iliyoku wazi kwa mwaka mzima wakuu hapa kuna kitu.

Huenda kuwa makusanyo tuliyokuwa tunatangaziwa na TRA ni figure feki labda mzee kashtuka. Kiukweli hainiingii akilini eti mzee kaamua kupiga bodi nzima chini na kuteuwa mkusanya kodi mkuu namba mbili bila kuwa na tatizo mzee atakuwa kachoka na figure izi feki bodo tuna safari ndefu.
Akili kichawani hapo kweli kuna figisu lipo nyuma ya pazia performance good ila bodi inapigwa chini kweli au kaona kuwa kwanini washidwe kwa kipindi cha nyuma. Basi kama ni hivo na bodi ya mikopo ya wanafunzi ipigwe chini pia coz haiwezekani sasa hivi ndo wakumbuke kuna kudai watu wakati muda wote wanatamia mayai hapo loan bodi nakula hela za wanafunzi hewa . CCM MBELE KWA MBELE
 
halafu huwezi kuipiga chini bodi kwa kukosa ufanisi ukamuacha kamishna mkuu wa TRA.

Tukumbuke taarifa za bodi hutokana na wanayofanya kamishna mkuu wa TRA na watendaji wake,na pia nadhani kamishna mkuu wa TRA ndiye katibu wa bodi.

Sasa bodi ambayo haiingii saiti kwenye makusanyo,sidhani kama ni sawa kuitimua na kumuacha kamishna mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana unamwachaje zakayo
 
Huyo Naibu Kamishna anaandaliwa kuchukua Nafasi ya Kamishna Mkuu ambae nae atatumbuliwa soon. Dr. Likwilile kabla ya kutumbuliwa alisogezewa Dogo amfundishe kazi the same to TRA.


Jk alikuta Makusanyo kwa Mwezi ni 177 Billion lakin kaacha kwa Mwezi tunakusanya 900 billion kwa Mwezi, baada ya kuondoka kaingia Mchapakazi pamoja na Makusanyo ya Arrears za Miaka ya Nyuma sasa tunakusanya Trillion 1.1 kwa Mwezi ikiwa ni ongezeko la 200 Billion hii ikimaanisha Kama utatoa Malimbikizo ya Nyuma yanayokusanywa sasa hasa hasa kwa ku update TIN za wateja lazima walipe Malimbikizo hii inamaanisha Actual current collection ya TRA huenda ikawa imeshuka ukilinganisha na October 2015.

Tuongeze Dua, Maombi na Nyiradi ili Mh. Rais akubali awe anashauriwa na Wataalam wa Uchumi badala ya Yeye kuwa mshauri wa Wachumi kwny Masuala ya uchumi!

Sasa hivi Naibu Kamishna ni Ndg Charles E Kichere ( sio Dr, Prof wala Engineer) hii inaashiria Rais kaanza kuamini hata wasio na Phd na Shahada za uhandisi pia wanaweza kusaidia Nchi
 
Wapinzani Waliposema Haiwezekani Makusanyo ya Kodi Yapande Halafu Hali Izidizi Kuwa Ngumu Basi Kama Hivyo Hizo Ripoti Zitakua za Kupika Muliwaita Wachochezi Sasa Habari Mnayo.
 
halafu huwezi kuipiga chini bodi kwa kukosa ufanisi ukamuacha kamishna mkuu wa TRA.

Tukumbuke taarifa za bodi hutokana na wanayofanya kamishna mkuu wa TRA na watendaji wake,na pia nadhani kamishna mkuu wa TRA ndiye katibu wa bodi.

Sasa bodi ambayo haiingii saiti kwenye makusanyo,sidhani kama ni sawa kuitimua na kumuacha kamishna mkuu
Aibu sana .
 
Kashituka, mwaka mzima akilishwa matango pori
 
Kosa lao jamani ni kumshauri afute VAT ya mizigo inayopita kwenda nchi jirani! Hii wametoa siri kuwa kumbe jamaa hawajarudi na mizigo imepungua bandarini hivyo uchumi hausongi! Maharage ya Mbeya yakacharuka! Sasa atakuwa mtu gani anayeshauri yeye anafukuza? Si wataisha hawa? Ndo maana watu hawataki kumshauri!!
 
Habari zenu wana jamvi ndugu zangu akili yangu inanituma kuamini kuwa watanzania kuna kitu tunafichwa pale TRA.

Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi. Baada ya kufuta bodi hapo hapo mkuu wa nchi anamteuwa Naibu Kamishna nafasi iliyoku wazi kwa mwaka mzima wakuu hapa kuna kitu.

Huenda kuwa makusanyo tuliyokuwa tunatangaziwa na TRA ni figure feki labda mzee kashtuka. Kiukweli hainiingii akilini eti mzee kaamua kupiga bodi nzima chini na kuteuwa mkusanya kodi mkuu namba mbili bila kuwa na tatizo mzee atakuwa kachoka na figure izi feki bodo tuna safari ndefu.
Takwimu halisi zilipaswa ziendane na uhalisia wa maisha , kama tunajivunia kuvunja rekodi ya mapato huku uchumi ukiendelea kudorora na maisha kuwa magumu kiukweli unakosa uhalisia wa maana nzima ya kuvuka na kuvunja rekodi ya makusanyo!
Lakini cha kujiuliza ni bodi ndio ina shida au kuna tatizo mahali? La kimfumo ama La mtu binafsi mwenye mamlaka na maamuzi ya mwisho?
Ifike mahali tusiwachukie inzi kwa kutuzinga bali tuangalie kwanini wanatuzinga...! Tusijekuwa 2mepuu bila habari[emoji15] [emoji3] [emoji15] [emoji3] [emoji15]
 
To be a leader you must have leadership skills but a boss doesn't have to have leadership skills and he/she thinks is right every day. Ni shiidah
 
1479669533969.jpg
 
Kosa lao jamani ni kumshauri afute VAT ya mizigo inayopita kwenda nchi jirani! Hii wametoa siri kuwa kumbe jamaa hawajarudi na mizigo imepungua bandarini hivyo uchumi hausongi! Maharage ya Mbeya yakacharuka! Sasa atakuwa mtu gani anayeshauri yeye anafukuza? Si wataisha hawa? Ndo maana watu hawataki kumshauri!!
Si kuna watu wanasema bwana yule hashauriki[emoji23]
 
Nadhani alichogundua kwenye TRA kuvuka lengo ni kuwa baada ya kuhamishia makusanyo ya property tax toka serikali za mitaa na kodi zingine toka halmashauri,akadhani hazina imetuna!! Kumbe yuko pale pale au ameshuka sana!! Time will tell and numbers never lies
 
Anatafuta sababu huyu Pumba kuna jambo anataka kulikwepa utalisikia hivi karibuni...
 
Hivi issue ya Dodoma bado ipo kwa changamoto hizi za upungufu wa Rasilimali pesa
 
Back
Top Bottom