Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,179
- 2,813
Habari zenu wana jamvi ndugu zangu akili yangu inanituma kuamini kuwa watanzania kuna kitu tunafichwa pale TRA.
Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi. Baada ya kufuta bodi hapo hapo mkuu wa nchi anamteuwa Naibu Kamishna nafasi iliyoku wazi kwa mwaka mzima wakuu hapa kuna kitu.
Huenda kuwa makusanyo tuliyokuwa tunatangaziwa na TRA ni figure feki labda mzee kashtuka. Kiukweli hainiingii akilini eti mzee kaamua kupiga bodi nzima chini na kuteuwa mkusanya kodi mkuu namba mbili bila kuwa na tatizo mzee atakuwa kachoka na figure izi feki bodo tuna safari ndefu.