Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Kwa nini hamtekelezi agizo la kukusanya kodi za kwenye Nyumba? sheria ipo, kila kitu kipo, tatizo ni nini?
Yani wewe jamaa wewe nakukubali sana yani sina cha kukupa maana mara zote unakua na madini hatari hatariHuyo Naibu Kamishna anaandaliwa kuchukua Nafasi ya Kamishna Mkuu ambae nae atatumbuliwa soon. Dr. Likwilile kabla ya kutumbuliwa alisogezewa Dogo amfundishe kazi the same to TRA.
Jk alikuta Makusanyo kwa Mwezi ni 177 Billion lakin kaacha kwa Mwezi tunakusanya 900 billion kwa Mwezi, baada ya kuondoka kaingia Mchapakazi pamoja na Makusanyo ya Arrears za Miaka ya Nyuma sasa tunakusanya Trillion 1.1 kwa Mwezi ikiwa ni ongezeko la 200 Billion hii ikimaanisha Kama utatoa Malimbikizo ya Nyuma yanayokusanywa sasa hasa hasa kwa ku update TIN za wateja lazima walipe Malimbikizo hii inamaanisha Actual current collection ya TRA huenda ikawa imeshuka ukilinganisha na October 2015.
Tuongeze Dua, Maombi na Nyiradi ili Mh. Rais akubali awe anashauriwa na Wataalam wa Uchumi badala ya Yeye kuwa mshauri wa Wachumi kwny Masuala ya uchumi!
Sasa hivi Naibu Kamishna ni Ndg Charles E Kichere ( sio Dr, Prof wala Engineer) hii inaashiria Rais kaanza kuamini hata wasio na Phd na Shahada za uhandisi pia wanaweza kusaidia Nchi
Hahaaa tutasikia mengi sana mwaka huu!!! Ijumaa mkurugenzi jumatatatu mtuhumiwa!!!IjumaaHabari zenu wana jamvi ndugu zangu akili yangu inanituma kuamini kuwa watanzania kuna kitu tunafichwa pale TRA.
Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi. Baada ya kufuta bodi hapo hapo mkuu wa nchi anamteuwa Naibu Kamishna nafasi iliyoku wazi kwa mwaka mzima wakuu hapa kuna kitu.
Huenda kuwa makusanyo tuliyokuwa tunatangaziwa na TRA ni figure feki labda mzee kashtuka. Kiukweli hainbosi juma tatu hana pa kuweka sura!!iingii akilini eti mzee kaamua kupiga bodi nzima chini na kuteuwa mkusanya kodi mkuu namba mbili bila kuwa na tatizo mzee atakuwa kachoka na figure izi feki bodo tuna safari ndefu.
Nasema hivi, MImi ndio Juma.
Hivi bodi ya mikopo aliyoikuta JPM ndio bado inaendelea?Akili kichawani hapo kweli kuna figisu lipo nyuma ya pazia performance good ila bodi inapigwa chini kweli au kaona kuwa kwanini washidwe kwa kipindi cha nyuma. Basi kama ni hivo na bodi ya mikopo ya wanafunzi ipigwe chini pia coz haiwezekani sasa hivi ndo wakumbuke kuna kudai watu wakati muda wote wanatamia mayai hapo loan bodi nakula hela za wanafunzi hewa . CCM MBELE KWA MBELE
Wewe kumbe ndiyo usiyeelewa ukweli wa mambo; unasema anajua mambo na hakurupuki, ulizia kuhusu yule mkuu wa Muhimbili aliyemtoa na mifano mingine kadhaa halafu utafahamu kama madai yako yana ukweli au hujui unachokiamini.Jpm hakurupuki aisee ukiona kafumua sehemu ujue anajua kuliko tunavyojua tatizo ni moja spidi yake ni Kali kuliko mazoea ya watz ndio maana ni kama hatumwelewi ila anajua anachokifanya kumbuka urais ni taasisi
Mapato yameongezekaje sasa?Bado ufanisi wao ulikuwa haujafikia viwango vinavyokubalika.
Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi.
Habari zenu wana jamvi ndugu zangu akili yangu inanituma kuamini kuwa watanzania kuna kitu tunafichwa pale TRA.
Najiuliza iweje mkuu apangue bodi iliyowezesha mapato kupanda hadi trilion 1.2 kwa mwezi. Baada ya kufuta bodi hapo hapo mkuu wa nchi anamteuwa Naibu Kamishna nafasi iliyoku wazi kwa mwaka mzima wakuu hapa kuna kitu.
Huenda kuwa makusanyo tuliyokuwa tunatangaziwa na TRA ni figure feki labda mzee kashtuka. Kiukweli hainiingii akilini eti mzee kaamua kupiga bodi nzima chini na kuteuwa mkusanya kodi mkuu namba mbili bila kuwa na tatizo mzee atakuwa kachoka na figure izi feki bodo tuna safari ndefu.
Ni Yohana mkuu!Nasema hivi, MImi ndio Juma.
Kumuingiza rais mkenge sio jambo dogo sio jambo ambalo MTU anatamani kulifanya sio jambo LA kawaida kumuingiza rais mkenge ni kama kauhaini ukimuingiza rais mkenge ni kama umeisaliti nchi na watu milioni 50 walioko nyuma yake bado naamini taasisi ya urais haikosei kwenye maamuzi maana inakuwa na taarifa za kutosha sana na kama wakikosea basi nisehemu ya mapungufu ya kibinadamuWewe kumbe ndiyo usiyeelewa ukweli wa mambo; unasema anajua mambo na hakurupuki, ulizia kuhusu yule mkuu wa Muhimbili aliyemtoa na mifano mingine kadhaa halafu utafahamu kama madai yako yana ukweli au hujui unachokiamini.
Usijidanganye kwamba kila anayemuondoa ni kwa sababu ya uzembe au kutokuwa na ufanisi, mengine anaingizwa mikenge anaishia kuwaondoa watu bila hatia.
Soma tangazo vizuri la serikali. Uliotenguliwa ni uteuzi wa mwenyekiti wa bodi siyo bodi nzima. Pia ufahamishwe kuwa Bodi ya TRA inaundwa na ex-official members kama ifuatavyo; Gavana wa BOT, Katibu Mkuu wizara ya fedha, Katibu Mkuu wizara ya fedha Zanzibar, Mwenyekiti Bodi ya Mapato Zanzibar(ZRB), Katibu Mkuu Tume ya Mipango, Mkuu wa Chuo cha IFM, Kamishna Mkuu wa TRA na Company Secretary wa TRA. Hawateuliwi kwa majina bali nyazifa zao.Ndo upige bodi nzima chini na hapohapo mkusanya kodi no 2 uteuwe
Mkuu mm ndo nimesoma vibaya au ww ebu soma vizuri bandiko la Msigwa apo usikurupukeSoma tangazo vizuri la serikali. Uliotenguliwa ni uteuzi wa mwenyekiti wa bodi siyo bodi nzima. Pia ufahamishwe kuwa Bodi ya TRA inaundwa na ex-official members kama ifuatavyo; Gavana wa BOT, Katibu Mkuu wizara ya fedha, Katibu Mkuu wizara ya fedha Zanzibar, Mwenyekiti Bodi ya Mapato Zanzibar(ZRB), Katibu Mkuu Tume ya Mipango, Mkuu wa Chuo cha IFM, Kamishna Mkuu wa TRA na Company Secretary wa TRA. Hawateuliwi kwa majina bali nyazifa zao.