Kuna kitu kinaendelea hapa

Kuna kitu kinaendelea hapa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412749327565.jpg
 
serikali imeshindwa kutupa maji acha nichote nikawauzie wenye shida
mkuu kwanini hukunipiga hadi uso watu wanione ?
 
Were ungenitoa baro... Manake hukujua kama nakufotoa
 
maji tunanunua hasa kwa wasukuma mikokoteni anatulinda Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani,khaaaa yaani...
 
Na yale maji yanayotumika kutengenezea juice na ice cream za mitaani
 
niliwahahi kunywa juisi za kwenye ndoo aisee yule mtu sijui alitengenezea hayo maji..nilipoteza mfuniko wa choo weee
sijawahi tena kurudia hiyo kitu
 
Hahahahaaaaa kunywa hiyo juice halafu kula ile mishkaki ya chelewa then soon you will be on the highway to hell
 
Nimepita kwote huko mishkaki ile mingine inakuwa laini sijui ilikuwa nyama ya mtindo gani nazo niliacha, nilikuwa nafuata saana ile pilpili yao a.k.a chachandu
 
Mungu wangu bysange umelishwa mpaka visivyoliwa amini usiamani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom