Kuna kitu hakipo sawa kwenye Ulinzi wa Rais

Kuna kitu hakipo sawa kwenye Ulinzi wa Rais

Tazama vizuri picha hii, Rais Samia akiwasili Dar Es Salaam mara baada ya kutoka Uganda.

Picha hii inaonyesha kuna mambo hayako sawa hasa kwa walinzi wa Rais. Wataalam watakuwa wamenielewa, naomba wahusika walifanyie kazi, tunampenda mno Rais wetu.
View attachment 1750281
……Kwa jicho la nyama pengine! nyie wakulima gudegude, njegere na kunde upande wenu huu na hawa wasanifu majengo wao ule.....baina yenu "msiyoyajua" kumuhusu mtu mmoja mmoja ni zaidi ya kiza kinene kwenu!
 
……Kwa jicho la nyama pengine! nyie wakulima gudegude, njegere na kunde upande wenu huu na hawa wasanifu majengo wao ule.....baina yenu "msiyoyajua" kumuhusu mtu mmoja mmoja ni zaidi ya kiza kinene kwenu!
Haya!
 
Wataalam tulishaona sasa umeleta uzi wa nn kama hutaki kuwaeleza wasio wataalamu tatizo lilipo? Si ungekausha
 
Kwenye nchi zetu hizi sidhani kama kuna figisu za kiusalama kama alivyojiaminisha mzee jiwe akaamua kutembea na Batallion nzima hadi mizinga na rocket launcher , watu mlijiaminisha kwamba huo ndio ulinzi , kitaalam unaweza ukawa na ulinzi mkali tena sana bila presence ya hao makirikiri kama wa mwendazake, pia mambo mengine ni Mungu tu anaweka mkono jamaa alihangaika sana na maulinzi weeee kaja kufa kwa kirusi cha ajabuuuuu kibriiii chote kwishaaaa
 
Jiwe pamoja na weapons za kivita kulindwa nazo ,lakini mambo yalibaki vilevile
 
Tatizo la ujuaji limekuwa kero sana siku hizi!
Watu wamekuwa wajuaji kupindukia hadi kero!

Kwa taarifa yenu ANAEMLINDA NI MUNGU! hata hawa walinzi waliopo ni Auxiliary security tu!
MNABOA SANA NA UJUAJI WA KIPUUZI
Wakuangalia Movie za kuigiza
huyo mungu wako mbona haonekani hapo
 
Watu siku hizi ni wanamjua mtu kuliko hata mwenyewe anavyojijua
 
Nyinyi mliokalili mna shida. Hapa TISS inaweza isiwe inahusika kabisa au inahusika kwa uchache, na umejuaje kama wako wawili kila upande?

PSU ndio ulitakiwa utaje kabla ya kitu chochote. Kwenye hii kazi ya ulinzi wa rais PSU wana mamlaka kuliko TISS. Na ni organs zinazotofautishwa sana ingawa zinaweza peana briefings.
Sasa PSU si wapo chini ya TISS? Hata kazi za TISS huzijui? Moja kati ya kazi zao ni VIP protection, ni kama jeshini au polisi kuna mgawanyiko wa kazi, wengine trafiki, wengine wapelelezi na wengine kutuliza ghasia. Vivyo hivyo kwa TISS wapo undercover informers, walinzi wa viongozi, deep covers nk.
 
Hapo anaweza kuwa Yuko secured na mibastola Ila corona inapenya hapo hapo kati Yao sijui hawaelewi Hilo

Ina maana hapo TISS hawajui kwamba Kuna biological attacks
 
Acha ujuaji wa kijinga ww
Eti wataalamu mmeelewa
Ndo nini sasa ?
Acha Mama yetu Afanye kazi.
 
images.jpeg-2.jpg
 
Tatizo la ujuaji limekuwa kero sana siku hizi!
Watu wamekuwa wajuaji kupindukia hadi kero!

Kwa taarifa yenu ANAEMLINDA NI MUNGU! hata hawa walinzi waliopo ni Auxiliary security tu!
MNABOA SANA NA UJUAJI WA KIPUUZI
Wakuangalia Movie za kuigiza
Mbona umechukia sana aise? Mtoa mada yuko sahihi.
 
Back
Top Bottom