Nahitaji kufutiwa kodi kandamizi ili nilipe watu mshahara. 😅 ili wewe mkuu uje uwapandishie mshahara.ukituambia ulichokiona utapandishiwa mshahara.
Basi sawa ila pia wasisahau kuimarisha ulinzi wake dhidi ya mdudu korona anayesafiri kwa hewa. Rais wetu avae barakoa kama alivyovaa akiwa Uganda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umetisha aiseMimi sio mtaalamu, lakini ningependa niseme kitu kidogo, kama mtoa mada alivosema hapo juu, naunga mkono, wataalamu mtamuelewa, lakini kama nilivosema hapo mwanzo mimi sio mtaalamu, sina cha kusema.
HallelujahAtalindwa na Mungu
Huyu dada yuko na Mama kitambo, nadhani ndo mlinzi wake wa mwanzo tangu alipoteuliwa kuwa Makamu wa Rais.View attachment 1750310
Huyu dada namuelewa sana...anaijua kazi yake vyema! Kongole nanii ...
Halafu yuko isolated sanaLabda mtoa madam anataka kumanisha kuwa mama katangulia mbele bila kukingwa na mlinzi sasa kama kuna wabaya wanaweza kumsnipe
Alitaka aone vifaru na mizingaMkuu ulitaka walinzi wawe wale wenye mitutu na miesiemjiii wazunguke ndege nzima na kapeti lote
Hii iliwahi kutokea kwa mzee ruksa kama kumbukumbu zangu ziko sawa!Kama kuna kitu hakipo sawa nenda kamzabe kibao kuhakiki.
Ww ndo hauko sawa! Acha ujuajiTazama vizuri picha hii, Rais Samia akiwasili Dar Es Salaam mara baada ya kutoka Uganda.
Picha hii inaonyesha kuna mambo hayako sawa hasa kwa walinzi wa Rais. Wataalam watakuwa wamenielewa, naomba wahusika walifanyie kazi, tunampenda mno Rais wetu.
View attachment 1750281
Walinzi wapo wa kutosha tu,security details imekamirika,chini kila upande wapo TISS wawili,na hapo JNIA muda Raisi anaingia,hiyo sehemu inakuwa imejaa security kila kona mpaka vyooni,mpaka kwenye paa,eneo zima linawekwa chini ya ulinzi.Tazama vizuri picha hii, Rais Samia akiwasili Dar Es Salaam mara baada ya kutoka Uganda.
Picha hii inaonyesha kuna mambo hayako sawa hasa kwa walinzi wa Rais. Wataalam watakuwa wamenielewa, naomba wahusika walifanyie kazi, tunampenda mno Rais wetu.
View attachment 1750281