Kuna kitu hakipo sawa kwenye Ulinzi wa Rais

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Tazama vizuri picha hii, Rais Samia akiwasili Dar Es Salaam mara baada ya kutoka Uganda.

Picha hii inaonyesha kuna mambo hayako sawa hasa kwa walinzi wa Rais. Wataalam watakuwa wamenielewa, naomba wahusika walifanyie kazi, tunampenda mno Rais wetu.
Adjustments.jpg
 
Tatizo la ujuaji limekuwa kero sana siku hizi!
Watu wamekuwa wajuaji kupindukia hadi kero!

Kwa taarifa yenu ANAEMLINDA NI MUNGU! hata hawa walinzi waliopo ni Auxiliary security tu!
MNABOA SANA NA UJUAJI WA KIPUUZI
Wakuangalia Movie za kuigiza
 
Sizijui protokali wala itifaki, binafsi niliona kitu kilinishtua ingawa wahusika wali react faster kidogo baada ya sekunde kadhaa!

Everyday is Saturday..............................
Kwenye video Mama alitangulia kushuka halafu ghafla yule dada wa Usalama akachomoka fasta na kumpita Mama na kwenda kumsubiri pale chini ya ngazi. Je ni sawa.
 
Alipokuwa mwendazake na ulinzi mzito kama yuko Somalia tulipiga kelele.

Huyu ana ulinzi wa kawaida ambao hauna mbwembwe napo tunapiga kelele

Watanzania hatujui nini tunataka.

Yule ni Rais na yuko na walinzi ambao wanajua nini anafanya.

Mengine tuyaachage tu.
 
Tatizo la ujuaji limekuwa kero sana siku hizi!
Watu wamekuwa wajuaji kupindukia hadi kero!

Kwa taarifa yenu ANAEMLINDA NI MUNGU! hata hawa walinzi waliopo ni Auxiliary security tu!
MNABOA SANA NA UJUAJI WA KIPUUZI
Wakuangalia Movie za kuigiza

Kweli
 
Back
Top Bottom