Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Huo ndio mwanzo wa usaliti huo! Kwanini yasipelekwe kewnye vikao husika!

Uzuri hapa Jukwaani tunafahamiana kutokana na post zetu...Tupishe tuendelee na kukosoana kwetu...wewe huwezi kuchochea kuni.....
 
msaliti msaliti msaliti msaliti ndivyo utakavyobatizwa bahati yako umetumia id feki. Haya mambo pelekeni kwenye vikao vyenu kama hakuna uhuru wa mawazo njoo huku tupiganie maslahi ya taifa siyo vyama.
mwanajeshi hakimbii vita unapambana na ukikimbia wewe ni msaliti na adhabu yako ni kifo
 
unaelewa maana ya mjadala mpana.lazima kuwe na nia ya kitu lakini kwa mawazo niliyoyaona hapa ya baadhi ya wanaojiita wana bavicha, inadhihirisha bado tinasafari ndefu ya kuwakomboa situ wananchi bali hata wananojiita wanachama.
Kama una nia nyingine sawa endelea kujadili huku, Lakini kama unaona una ushauri mzuri wa kujenga chama, nakushauri waone viongozi wa chadema ofisini. Swali dogo tu nikikuuliza hapa unampa ushauri nani? na unauhakika gani kama ataupata ushauri au malalamiko yako? NARUDIA KUSEMA KUWA KAMA UNA MALENGO TOFAUTI ENDELEA KUTOA USHAURI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII, LAKINI KAMA UNATAKA KUJENGA CHAMA KWA KUTOA MAWAZO MMBADALA YA KUJENGA CHAMA BASI WAONE VIONGOZI WA CHADEMA OFFICIALLY.

Kuhusu utaratibu nakubaliana na wewe.

Ni ajabu Mnyika akaja hapa na kuanza kukosoa chama bila kufuata utaratibu

Ni ajabu Mwenyekiti wa tawi la Mbozi akaja hapa na kuanza kukosoa chama

Ila kwa mtu kama Victor Mwalusimbi Mwakatete wa kule sumbawanga ambaye bado hajawa mwanachama wa chadema na ana hamu ya mabadiliko yaongozwe na CHADEMA huwezi kumzuia kupost kwenye public forum kama hii kukosoa.

Na tukubaliane tu hapa JF Date of joining is not an issue...Hoja ndiyo issue

Nimekupa date baada ya kuona umeandika kuwa mimi ni mgeni hapa! Hilo ndilo nilikuwa nakutoa shaka.

Kuhusu mshabiki, mpenzi na wapenda cdm wote wanakaribishwa kwenye ofisi zetu au kwenye misingi ya chama. Mawazo yao yatapokelewa na kufanyiwa kazi!
 
Sisi vijana wa BAVICHA tunajua anachokifanya mwenyekiti,mpaka sasa ashafanya mambo makubwa mazuri ya chama na BAVICHA ,naona mashabiki na washindani wake aliowabwaga kwenye uchaguzi wa BAVICHA mnarudi upya bt tutawashughulikia tu,haina jinsi

Unadhani anayoyafanya mwenyekiti wa BAVICHA yanatakiwa yafahamike kwa BAVICHA tu?

Unadhani watanzania wote hawana haja ya kuona BAVICHA inafanya nini?
 
sisi vijana wa bavicha tunajua anachokifanya mwenyekiti,mpaka sasa ashafanya mambo makubwa mazuri ya chama na bavicha ,naona mashabiki na washindani wake aliowabwaga kwenye uchaguzi wa bavicha mnarudi upya bt tutawashughulikia tu,haina jinsi
si kweli mkuu kama anafanya ni kwafaida ya nani?,je anafanya ili aone pekeyake na waliomzunguka?, au inatakiwa jamii nzima ya watanzania ione. Hakuna anaemchukia na hakuna aliependekeza aondolewe bali kianzishwe chimbo ndani ya bavicha kitakachokuwa na majukumu ya kuamsha bavicha.
 
Nimekupa date baada ya kuona umeandika kuwa mimi ni mgeni hapa! Hilo ndilo nilikuwa nakutoa shaka.

Kuhusu mshabiki, mpenzi na wapenda cdm wote wanakaribishwa kwenye ofisi zetu au kwenye misingi ya chama. Mawazo yao yatapokelewa na kufanyiwa kazi!

Si mimi niliyesema wewe ni mgeni au mwenyeji hapa JF...Kindly refer the previous posts

Lakini ,....Ni sahihi kuzuia watu wote kukosoa namna mambo yanavyofanyika katika taasisi fulani?

Na kama sio sahihi....CHADEMA tunapata wapi uhalali wa kuikosoa serikali waziwazi na hata humu JF?

Kwa sababu sisi ni wadau wa serikali basi tungesema kukosoa hadi twende kwenye vikao vya mitaa na vijiji then mitaa/vijiji iyapandishe juu
 
Mimi nakaguaga operation zote hizo kwahiyo naelewa ninachozungumza ziropoki kama vijana wa lumumba
Ifike Mahali tuache Tabia yakukwepa Mijadala kwa kumshambulia Mtoa hoja,

Nadhani kwa Namna Moja ama Nyingine Freeland ana hoja nzuri na inajibika kwa hoja.

Ndugu Chademakwanza Natambua ushiriki wako katika harakati zifanywazo na BAVICHA hususani Mkiongozwa na sosopi.Ila bdo Uwajibikaji wa Pamoja kama Baraza haujakaa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Si mimi niliyesema wewe ni mgeni au mwenyeji hapa JF...Kindly refer the previous posts

Lakini ,....Ni sahihi kuzuia watu wote kukosoa namna mambo yanavyofanyika katika taasisi fulani?

Na kama sio sahihi....CHADEMA tunapata wapi uhalali wa kuikosoa serikali waziwazi na hata humu JF?

Kwa sababu sisi ni wadau wa serikali basi tungesema kukosoa hadi twende kwenye vikao vya mitaa na vijiji then mitaa/vijiji iyapandishe juu
Kimsingi hujakiuka Kanuni yoyote ya Chama unayohaki yakuandika hayo,

Freeland,Sio wakati wakuitana Majina Mabaya bali kuwajibika kwa Pamoja katika kuboresha uwajibikaji ndani ya Baraza.
 
Last edited by a moderator:
PISTO
Tambua kuwa chadema,inafanya mambo kisayansi,kila siku kuna staili ya kutoka.
Ushauri wako unaweza kupeleka ofisini kwao.
wanachama wa Bavicha wanataratibu zao,Heche alifyeka misitu,Patrobasi anajenga sasa hatia hizi hazifanani
 
Guys ...inabidi ifikie mahali tukubali criticisms.....

Kisayansi ndio kitu gani?

Kazi ya siasa unatakiwa uonekane...sasa kama huonekani unafanya kazi gani

Ifikie mahali tutambue kwamba inabidi kupokea maoni ya kutukosoa na kubadilika accordingly

BAVICHA au Patrobas sio malaika.....Anakosea pia...Ni uda wa kukaa chini na kuji Organize upya
 
mwanajeshi hakimbii vita unapambana na ukikimbia wewe ni msaliti na adhabu yako ni kifo

Sawa mkuu pambana lakini inaonekana kweli jamaa ni tatizo. Sijui kwanini vyama havitoi uhuru wa mawazo nchi za wenzetu unamchana tu kwenye vikao
 
pisto
tambua kuwa chadema,inafanya mambo kisayansi,kila siku kuna staili ya kutoka.
Ushauri wako unaweza kupeleka ofisini kwao.
Wanachama wa bavicha wanataratibu zao,heche alifyeka misitu,patrobasi anajenga sasa hatia hizi hazifanani
kwahiyo ulitaka nije hapa na kuanza kusema ooonimeongea na uongozi ikawa hivi na hivi....... Huo unaitwa umbea,hatuko hapa kubomoa
 
Back
Top Bottom