Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Katiba inasemaje?
Katiba inawahusu wanachama.
Je wasio wanachama...mashabiki na watu ambao wanapenda mageuzi wanalazimika vipi kuifuata hiyo katiba
By the way kwa nini mtu ukimbie criticisms?
Katiba inasemaje?
Soma Nyuma ya card yako ndio hurudi hapa
Ukishakua Mwanachama lazima Card itakuhusu soma nyuma ya card yakoKatiba inawahusu wanachama.
Je wasio wanachama...mashabiki na watu ambao wanapenda mageuzi wanalazimika vipi kuifuata hiyo katiba
By the way kwa nini mtu ukimbie criticisms?
Soma Nyuma ya card yako ndio hurudi hapa
Ukishakua Mwanachama lazima Card itakuhusu soma nyuma ya card yako
Upuzi wandu nimoja yakuwaogesha watu kama nyie mliopakaliwa ----- wa ccmGentleman....Hivi mbona akili yako kama ya wapuuzi wa lumumba kina laki si pesa?
Jamani hakuna mtu kasema mwenyekiti hafai,someni mwelewe sote tunaipenda bawacha,tusijifiche kwenyekivuli cha ccm.
Kama kweli wewe ni mwanachadema piga kazi mafanikio yataonekana, kama unasubiria viongozi wa kitaifa ndio waje kwenye maeneo yako waeneze chama ......kama wewe ni kiongozi wa Msingi au ngazi yoyote hautufai, kuwa tuu mwanachama wa kawaida. Hata mwanachama wa kawaida anatakiwa aeneze chama kwa eneo alilopo.
Ukisoma kadi ya Chadema kwa nyuma...Wajibu wa Mwanachama namba 3. (imetolewa kwenye katiba ya chadema) Imeeleza kwamba "Kutetea na kueneza itikadi, falsafa na Madhumuni ya chama ndani ya jamii anamoishi"
Mimi sio mwanachama ni mpenzi wa vuguvugu za kimageuzi za chadema, sie tutasemea wapi nakuuliza?
Upuzi wandu nimoja yakuwaogesha watu kama nyie mliopakaliwa ----- wa ccm
Hujaelewa ninacho kimaanisha mkuu, hivi hata kwenu unaingia tu na kuanza kuoakua wakati baba yako hajapakua chakula, tunahitaji bawacha yenye kasi na inayoonyesha njia,ili kuwatia moyo na wengine,unafikiri heche angekuwa anafanya kazi hivi leo tungekuwa na bawacha hii?.
Tuache mawazo mgando
NAOMBA NIWEKE WAZI KUWA SIWEKI POSTI HII ILI KUVURUGA UMOJA HUU,WALA SINA NIA YA KUFARAKANISHA VIONGOZI,NIA YANGU NI KUANZISHA MJADALA MPANA ILI KUUSAIDIA UMOJA WETU UENDANE KASI INAYO TAKIWA.
Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo Mh,Heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.
Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan B, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.
Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.
kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.
NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA SASA KWA USTAWI WA UMOJA WETU
Haya mimi sio mwanachama ,...unanikataza pia kukosoa hapa?
Jamani hakuna mtu kasema mwenyekiti hafai,someni mwelewe sote tunaipenda bawacha,tusijifiche kwenyekivuli cha ccm.
Soma Nyuma ya card yako ndio hurudi hapa
Utakosoa usichokijua?
Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA
Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA
Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM
Bawacha tuamke
Are you sure? Nina wasiwasi mkubwa sana na wewe ...Wewe sio Mwanachama wala shabiki wa CHADEMA
Wewe ni mwanachama wa CCM ndani ya ID inayojifanya ni CHADEMA
Lengo lako ikiwa ni kuropoka kuonesha kwamba CHADEMA kuna wapuuzi kama waliopo CCM
Kama unasema hujui katiba ndio tunakujuza sasa kuna namna yakuwasilisha hatufanyi kazi zetu ki ccmKwa hio CHADEMA mtapigiwa kura na wanachama wenu tu wenye kadi?
Kwa hio kura za wasio wanachama wenu hamzitaki?
Wewe una matatizo tena sio madogo...na yako Upstairs