farkhina si nilikwambia...unaona ha ha ha!!!
ha ha ha unataka anifie kifuani anaweza apate mshtuko wa moyo!
Ha ha ha!!!...weye na shogako mwaujua ugonjwa wako...yeye nesi na wewe ndiye tabibu lol
Ukigusa wangu mwili na kujua langu joto hakika wayajua yangu maradhi...heheheyaaa!!!
Nitibu taratibu basi afya yangu ipate rejea....
She is cutee
Kaizer umejibiwa!!!!!Mpwa Heaven on earth ni wako?
Mapenzi kusifiana bana... Usipomsifia wako, wakora wataanza kumsifia hala uanze kulialia
Mpwa Kaizer huyu bibiye hakusoma ile sredi ya Zahra White eenh...ya sisi vizee vya abavu 35 tunavyojua kumiliki dimba la juu na la chini...
Kwa kifupi tuwapo mchezoni sisi ndio roho ya timu....mashuti tunapiga...pasi fupi fupi tunatoa...sisi ndio tunameditate mwelekeo wa ushindi...
Loh kama nakuona hapa na picha nakuchora kabisa ha ha ha!!Ha ha ha!!!...weye na shogako mwaujua ugonjwa wangu...yeye nesi na wewe ndiye tabibu lol
Ukigusa wangu mwili na kujua langu joto hakika wayajua yangu maradhi...heheheyaaa!!!
Nitibu taratibu basi afya yangu ipate rejea....
Ngoja basi tuongee kwa herufi kubwa uwe mshenga wangu unkantilie maneno matamu kwa wakwe...au waonaje
Loh kama nakuona hapa na picha nakuchora kabisa ha ha ha!!
donlucchese once upon time in mumbai must watch plz....# ajay devgan,imraan hashmi,randeep hooda n kangana raunt.
Taratibu saa zote inaboa mi siwezi mambo ya kizee hayo!!unampelekamo taratiiib, ndo raha yenyewe ati, kukimbizana kimbizana kwani mpo mbio za mita 100? Eti mimi49
Aisee ngoja nii download sasa hivi