buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 3,140
- 6,288
HahahahaGear ya kwenda mbele haifanyi kazi inayofanya ni reverse
HahahahaGear ya kwenda mbele haifanyi kazi inayofanya ni reverse
Km hujui ni vema ukae kimyaKwenye vivuko alifanyaje?
Tubu dhambi hii. la sivo itakufuata muda is mrefu. Biblia inasema "Usimshuhudie jirani yako uwongo", "Mungu anachukizwa na shahidi wa uwongo", wewe unasema ni lini kivuko cha Kigamboni kiliua watu 200 kwenye awamu iliyopita? Au ndio uchawi wenyewe?Awamu yake kiliua watu 200
100%Ile Tanzanite Bridge ilitakiwa iwe pale kigamboni feri then ndio waendelee na hiyo Tanzanite org ya salenda au mnasemaje waungwana?
Kuna technology niliiona Uholanzi daraja limejengwa sehemu meli zinapita. Kama hakuna meli magari yanaendelea kuvuka kama kawaida. Meli ikitaka kupita daraja linafunguliwa pande zote 2 linainuka juu na kuacha uwazi katikati meli inapita then daraja linarudishwa na magari yanaendelea kupita.Yalaaaa ni kweli pale haiwezekani coz ya meli zinazo ingizia patokubwa taifa kuliko wana kigamboni wote, kwa vyovyote hawa wezi kujengewa daraja pale labda bandari ihamishwe kitu ambacho ni fikirishi sana so hapo cha kufanya wanakigamboni cha kufanya wa boreshewe vivuko vyao pia waongezewe hata vi wili au kimoja ita wasaidia ila sio daraja, case closed
Uwe unafuatilia mazungumzo na sio kujiropokea tu.Tubu dhambi hii. la sivo itakufuata muda is mrefu. Biblia inasema "Usimshuhudie jirani yako uwongo", "Mungu anachukizwa na shahidi wa uwongo", wewe unasema ni lini kivuko cha Kigamboni kiliua watu 200 kwenye awamu iliyopita? Au ndio uchawi wenyewe?
Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.Nobody cares anymore. Mtanikumbuka kwa mazuri.
Ha ha ha asante kwa kunichekesha asubuhi. Wenzio wametumuliwa kazi hapo kivukoni kwasababu ya upuuzi wao.Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.
hasa la kujenga kiwanja cha ndege chattoNobody cares anymore. Mtanikumbuka kwa mazuri.
Wewe acha ubishi wa kijinga. Angalia ulichoandika. Agenda ni "Janga la vivuko vya Kigamboni", mvu Nyerere ziwa Victoria nayo ni kivuko cha Kigamboni? Wapi umesema MV Nyerere ziwa Victoria iliua watu 200 ili watu wajue sasa huongelei vivuko kwa Kigamboni? Aibu kama sifedhena.Uwe unafuatilia mazungumzo na sio kujiropokea tu.
Kivuko cha Mv Nyerere ziwani viktoria kiliua watu zaidi ya 200 awamu yake . Haya endelea kuimba mapambio kwa awamu yake kwa vile hakikuwa kivuko cha kigamboni.
Nimekuambia fuatilia mazungumzo we kilaza. Baada ya member mmoja ku comment 'Tutamkumbuka' mimi nikamjibu 'awamu yake kiliua watu 200' , mantiki ya reply yangu ni kwamba huwezi kumkumbuka mtu kwenye nyanja hiyo kama awamu yake kiliua watu zaidi ya 200. Wenye akili walishaelewa hiyo comment yangu kasoro wewe kilaza. Baki na ukilaza wako.Wewe acha ubishi wa kijinga. Angalia ulichoandika. Agenda ni "Janga la vivuko vya Kigamboni", mvu Nyerere ziwa Victoria nayo ni kivuko cha Kigamboni? Wapi umesema MV Nyerere ziwa Victoria iliua watu 200 ili watu wajue sasa huongelei vivuko kwa Kigamboni? Aibu kama sifedhena.
Inapatikana wap mkuu ,palepale auSiku hizi sina muda na Pantoni.
Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.
Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.
Hii km sio ndoto basi itakua story ya kijiweni...na imemfikia mtu asietaka kushughulisha ubongo wake kujua au ht kufanya utafiti kua hiki kinawezekana ama lah or hiii ni taarifa ya kweli ama lah..Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.