Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

Vitu vingine uvivu tu mtu upo Dar mwaka wa 5+ na hujajifunza kupiga mbizi kweli!!? Hamjui kuwa hiyo ni moja ya self defense, Tujifunze walau Tips baadhi ambazo one day zinaweza kutuokoa, Tukitegemea hawa viongozi ambao ni wachambaji na wabinukaji bungeni tutakufa wote.
 
Awamu yake kiliua watu 200
Tubu dhambi hii. la sivo itakufuata muda is mrefu. Biblia inasema "Usimshuhudie jirani yako uwongo", "Mungu anachukizwa na shahidi wa uwongo", wewe unasema ni lini kivuko cha Kigamboni kiliua watu 200 kwenye awamu iliyopita? Au ndio uchawi wenyewe?
 
Yalaaaa ni kweli pale haiwezekani coz ya meli zinazo ingizia patokubwa taifa kuliko wana kigamboni wote, kwa vyovyote hawa wezi kujengewa daraja pale labda bandari ihamishwe kitu ambacho ni fikirishi sana so hapo cha kufanya wanakigamboni cha kufanya wa boreshewe vivuko vyao pia waongezewe hata vi wili au kimoja ita wasaidia ila sio daraja, case closed
Kuna technology niliiona Uholanzi daraja limejengwa sehemu meli zinapita. Kama hakuna meli magari yanaendelea kuvuka kama kawaida. Meli ikitaka kupita daraja linafunguliwa pande zote 2 linainuka juu na kuacha uwazi katikati meli inapita then daraja linarudishwa na magari yanaendelea kupita.
 
Tubu dhambi hii. la sivo itakufuata muda is mrefu. Biblia inasema "Usimshuhudie jirani yako uwongo", "Mungu anachukizwa na shahidi wa uwongo", wewe unasema ni lini kivuko cha Kigamboni kiliua watu 200 kwenye awamu iliyopita? Au ndio uchawi wenyewe?
Uwe unafuatilia mazungumzo na sio kujiropokea tu.

Kivuko cha Mv Nyerere ziwani viktoria kiliua watu zaidi ya 200 awamu yake . Haya endelea kuimba mapambio kwa awamu yake kwa vile hakikuwa kivuko cha kigamboni.
 
IMG_20220526_205953.jpg
 
Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.
Ha ha ha asante kwa kunichekesha asubuhi. Wenzio wametumuliwa kazi hapo kivukoni kwasababu ya upuuzi wao.
 
Uwe unafuatilia mazungumzo na sio kujiropokea tu.

Kivuko cha Mv Nyerere ziwani viktoria kiliua watu zaidi ya 200 awamu yake . Haya endelea kuimba mapambio kwa awamu yake kwa vile hakikuwa kivuko cha kigamboni.
Wewe acha ubishi wa kijinga. Angalia ulichoandika. Agenda ni "Janga la vivuko vya Kigamboni", mvu Nyerere ziwa Victoria nayo ni kivuko cha Kigamboni? Wapi umesema MV Nyerere ziwa Victoria iliua watu 200 ili watu wajue sasa huongelei vivuko kwa Kigamboni? Aibu kama sifedhena.
 
Nimekuambia fuatilia mazungumzo we kilaza. Baada ya member mmoja ku comment 'Tutamkumbuka' mimi nikamjibu 'awamu yake kiliua watu 200' , mantiki ya reply yangu ni kwamba huwezi kumkumbuka mtu kwenye nyanja hiyo kama awamu yake kiliua watu zaidi ya 200. Wenye akili walishaelewa hiyo comment yangu kasoro wewe kilaza. Baki na ukilaza wako.
 
Siku hizi sina muda na Pantoni.

Naenda soko la samaki nashuka down napanda Fibre boat nauli 500 ndani ya dakika tatu nipo ng’ambo.

Kama huwezi kuogelea usijaribu,maana kifo nje‘nje.
Inapatikana wap mkuu ,palepale au
 
Poleni sana ndugu zangu wa Kigamboni!!
Shida ya Kivuko bado ni Changamoto sana.
 
Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.

Underground bypass pale Magogoni?
Mbona kama ile distance ni fupi na hata kama ingewezekana nahisi gharama ingelikuwa ni kubwa sana
 
Uongo mkubwa kabisa. Huyo mtu wenu ndiye amesababisha matatizo hayo. Dau alitaka kujenga tunnel la chini ya maji akamuhamisha na kumpa ubalozi.
Hii km sio ndoto basi itakua story ya kijiweni...na imemfikia mtu asietaka kushughulisha ubongo wake kujua au ht kufanya utafiti kua hiki kinawezekana ama lah or hiii ni taarifa ya kweli ama lah..
tafadhali acha kutuletea story za darasa la 3 humu ndani,na jitahidi kuheshimu upeo wa watu waliomo humu ndani. We are neither kids nor fools in here.
 
Back
Top Bottom