Kuna jamaa toka Mbeya anajiita mc mboneke anatrend sana IG na mambo yake ya videos anakimbia huku anajirecord mara anasema, irudiwe!

Jamaa kaja na ubunifu wa aina yake,na wanamuiga kweli,na kashatoka kwao Mbeya yuko DSM kapata mialiko toka kwenye media mbalimbali..kibongobongo tunavyopenda mambo ya "kimasihara" jamaa ndio kashatoboa hivyo.
 
Back
Top Bottom